METHALI ZINACHANGANYA AKILI.

METHALI ZINACHANGANYA AKILI.

Aloyce Mkwizu

Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
70
Reaction score
53
Methali ipi kati ya hizi inafaa kutiliwa maanani katika shughuli zetu za kila siku.

Subira yavuta heri vs Ngoja ngoja huumiza matumbo.

Maoni yenu wakuu.
 
Subira yavuta heri, mimi navuta bangi.

Bora vyuma vilegee tu
1dd865065308e77ecf1caba201a65399.jpg


[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii hapa mkuu mi naweka
 
Back
Top Bottom