Methali

Methali

Deibrah

Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
10
Reaction score
4
Habari wapendwa anaeweza kunipa methali yenye maana sawa Ukiona zinduna, na ambari iko nyuma anisaidie tafadhali
 
zinduna ni mti, ambari ni harufu yake

inalandana na "ukiona manyoya, ujue kishaliwa"
 
Habari wapendwa anaeweza kunipa methali yenye maana sawa Ukiona zinduna, na ambari iko nyuma anisaidie tafadhali
Ukiona Moshi ujue chini kuna moto
Dalili ya mvua ni mawingu
Ukiona manyoya ujue kashaliwa
Mwanzo wa ngoma ni lele
 
Back
Top Bottom