Methali

Methali

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,104
Nimeipata hii kwenye mkasi EATV.

"Mpende akupendae, asiyekupenda MHONGE"

Imekaaje hii? Inamaana wote wanaohonga hawana mapenzi ya kweli? Na mapenzi ya kweli ni yale ya kupendana tu bila kuprovide chochote?

Nawakilisha.
 
tuanza na definitiona ya 'kuhonga'
mpaka wake ni wapi?
Mke anahongwa? Gf? Fiancee?
 
tuanza na definitiona ya 'kuhonga'
mpaka wake ni wapi?
Mke anahongwa? Gf? Fiancee?

Tujibie basii hayo maswali Kongosho?

Ila mke umempenda ndo maana umemuoa au?
 
Kokutona..iwe koku shubira yagenda mu yuniversity Bhukobha???
 
Siamini hiyo kitu, watu wanahonga gf, fiancee na hata mke.
 
...refer defn ya CATALYST....teheee!.
 
Nimeipata hii kwenye mkasi EATV.

"Mpende akupendae, asiyekupenda MHONGE"

Imekaaje hii? Inamaana wote wanaohonga hawana mapenzi ya kweli? Na mapenzi ya kweli ni yale ya kupendana tu bila kuprovide chochote?

Nawakilisha.

Hakuna mapenzi yasiyo na chochote!
 
mh nimeipenda, but by definition kuhonga ni kutoa kitu au pesa au ahadi ili upewe kitu flani ambacho kwa kawaida hukustahili au usingepewa kama usingetoa au kuahidi
 
Back
Top Bottom