"Methodology" mbili za usiasa na uanaharakati kwa pamoja ndiyo suluhu ya kukinusuru CHADEMA

"Methodology" mbili za usiasa na uanaharakati kwa pamoja ndiyo suluhu ya kukinusuru CHADEMA

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Kwa hali ilivyo kwa sasa na kwa msingi wa kanuni ya "Politics is dynamic" ni vyema HECHE akakaa na kamati yake na wajumbe kadhaa wa Baraza na wataalam kupitia upya methodology ya kupambana na mabadiliko ya sheria za uchaguzi.

No reform No elections inaweza kuendelea wakati huo huo mikakati mingine pembeni ya kisiasa iendelee. huu ni mchezo wa siasa na uana harakati ndani yake. njia au mtizamo mmoja tu itakuwa ngumu fanyeni tathmini ya mazingira ya kisiasa vs no reform no election ikoje kwa sasa? muone nini kinaweza kufanyika au kubadilika kufikia malengo.

Heche ikibidi hata Mbowe amuone atoe maoni yake jishushe na mpate na watu wa 'system' waaminifu kwenu wawape abc za huko ndani ya serikali na njia bora ya kufaulu. Baada ya mzunguko wa awali wa NRNE mtakuwa mmejifunza kitu Kipya. Tathmini izingatie fursa, udhaifu, nguvu na changamoto za kufikia malengo ya NRNE kwa sasa. Badala ya kupiga majukwaa tu.

Mtazoeleka na wananchi na kisha kuchuja na wakaona kuwa hamna jipya. Kaeni chini Tafakarini baada ya kuingia field uhalisia ukoje? utafiti unasemaje kuhusu level of success na sustainability ya program kabla wakati na baada ya uchaguzi.

What are indicators of entrnchment and support to the program.KAZI KWENU.
 
Back
Top Bottom