Micro E coli
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 938
- 192
Ukienda hospital kutibiwa kama Daktari atakupa Flaggily huwa anasisitiza sana usinywe pombe hapa kunamadhala gani kibaologia na je ni hatari na kama umekunywa dawa hizo halafu ukajisahau ukanywa na pombe ninikifanyike ilikuepuka hayo madhara.