Kilimo Cha kisasa ndio teknolojia yenyewe.Kwa nchi za africa kama kweli tunataka ubilionea Basi tupambane kwenye kilimo cha kisasa tuuze nje. Kuhusu technology kwa africa mazingira si rafiki sana
Hii serikali inayoweka vpn?Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums na Mwanzilishi mwenza akiwa kwenye Interview CloudsTzv amesema:
"Mabilionea wanaokuja sasa hivi Tanzania watatokea kwenye teknolojia, hivyo Serikali iweke mazingira wezeshi"
Je, huu msemo unaendana na wakati? ''Kama munaitaka mali mutaipata shambani''
Una nini cha kuchangia?
Kwa nchi za africa kama kweli tunataka ubilionea Basi tupambane kwenye kilimo cha kisasa tuuze nje. Kuhusu technology kwa africa mazingira si rafiki sana
Maxence Melo kauli uliyotoa ni sahihi lakini Afrika tuko nyuma sana kwenye issue ya science na technology
Na tunarudishwa nyuma zaidi , kutokana na syllabus tunazotumia plus mbinu za kusomaKwa nchi za africa kama kweli tunataka ubilionea Basi tupambane kwenye kilimo cha kisasa tuuze nje. Kuhusu technology kwa africa mazingira si rafiki sana
Ngumu sana kilimo kututoa kwenye umaskini na kutengeneza mabilionea.Kwa nchi za africa kama kweli tunataka ubilionea Basi tupambane kwenye kilimo cha kisasa tuuze nje. Kuhusu technology kwa africa mazingira si rafiki sana