Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teknolojia Ni Neno Pana, Ila Kama maana Ni kufanya huduma au uzalishaji kwa weledi kupitia teknolojia sahihi kwa wakati uliopo naunga mkono hoja.....Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums na Mwanzilishi mwenza akiwa kwenye Interview CloudsTzv amesema:
"Mabilionea wanaokuja sasa hivi Tanzania watatokea kwenye teknolojia, hivyo Serikali iweke mazingira wezeshi"
Je, huu msemo unaendana na wakati? ''Kama munaitaka mali mutaipata shambani''
Una nini cha kuchangia?
HahahaNa tunarudishwa nyuma zaidi , kutokana na syllabus tunazotumia plus mbinu za kusoma
Hadi leo watu wanahangaika na kusolve past papers ili wafaulu mitihani , innovations itatoka wapi?