Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums na Mwanzilishi mwenza akiwa kwenye Interview CloudsTzv amesema:
"Mabilionea wanaokuja sasa hivi Tanzania watatokea kwenye teknolojia, hivyo Serikali iweke mazingira wezeshi"
Je, huu msemo unaendana na wakati? ''
Kama munaitaka mali mutaipata shambani''
Una nini cha kuchangia?