Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
- #21
Sure . It could be fake or made up . But it was a Mexico parliament discussion .Za kuambiwa changanya na za kwako...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure . It could be fake or made up . But it was a Mexico parliament discussion .Za kuambiwa changanya na za kwako...
Kuna English version chiniHii Google translator Huwa sielewi kiswahili chake, kinaniboa sana
Dany sense gani unazungumzia hapa? Hii CnP ya mtandaoni tena kwa kutumia Google translate? Seriously? Ishu za UFO mbona zinazeeka sasa ingawa kwako ni habari kubwa? Umeshawahi kujiuliza kwanini haziko Afrika?Change . Start talking sense .sio non sense kwa kila thread . You look like uneducated fool in jf . Improve the content . Mature your facts
Na ni ishu ya kitambo mnoAchana mpuuzi huyo anataka kuaminisha ujinga ambao hata yeye kaota kwenye mitandao huko
Kwan nani hajui hii ishu hao viumbe inajadaliwa daily
Je utaniomba radhi sasa? Nadhani hutaweza kufanya hivyo..It needs a big heart to do this! Anyway thanks for this feedbackit's all fake
Wewe ajuza mpuuzi kuliko upuuzi wenyewe. Mwenye mada karudi kuthibitisha habari ni feki! Sasa super stupid ni nani kati yangu na wewe kiazi mbatata?[emoji23]He/she is super stupid.