Mexico: Ukatili dhidi ya wanawake wafikia asilimia 70

Mexico: Ukatili dhidi ya wanawake wafikia asilimia 70

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Ripoti mpya ya Idara ya Takwimu (INEGI) imesema #Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana umeongezeka zaidi ndani ya miaka mitano iliyopita, uchunguzi umebaini wanawake 7 kati ya 10 wameripotiwa kukabiliwa na aina fulani ya ukatili.

Rais wa Idara hiyo, Graciela Marquez ameeleza kuwa unyanyasaji wa Wanawake kwasababu ya jinsia zao umekuwa janga la taifa ambapo wastani wa wanawake 10 hutoweka au kuuawa kila siku nchini humo.

Takriban 35% ya wanawake waliripoti kuwa waathirika wa unyanyasaji wa kimwili wakati wa maisha yao kutoka 34% ya mwaka 2016, wakati 52% walisema wamepitia unyanyasaji wa kisaikolojia ikipanda kutoka 49% ya mwaka huo.

Kwa mujibu wa INEGI, idadi kubwa ya wanawake waliokumbana na unyanyasaji wa kimwili au kingono hawakuripoti kuhusu waliowashambulia au kutafuta usaidizi kutoka taasisi yoyote ya Umma.

=============================

Violence against women and girls in Mexico has increased over the last five years, the statistics office said in a survey that found seven in 10 of them reported experiencing some form of violence.

“Violence against women continues to be a challenge in the country and constitutes a public health problem,” the president of the national statistics agency INEGI, Graciela Marquez, told a news conference on Tuesday.

Mexico’s soaring rate of femicide - the killing of women and girls because of their gender - has sparked waves of protests. On average, some 10 women are killed every day and tens of thousands are missing.

INEGI estimated that more than 70 percent of 50.5 million women and girls aged over 15 have experienced some kind of violence, up four percentage points from the last time it ran the survey in 2016.

Reports of sexual violence increased the most, up eight percentage points to reach half of all women surveyed; 23 percent of whom said they had experienced this in the last 12 months.

Nearly 35 percent reported being a victim of physical aggression during their lives, up from 34 percent in 2016, while 52 percent said they had experienced psychological abuse, up from 49 percent.

The vast majority of women who experienced physical or sexual violence did not formally report their attacker or seek help from a public institution, according to INEGI.

REUTERS
 
wanawake 10 kila siku na bado kuna wanawake huko ?

reports zingine za k'nafk kweli kweli
 
Back
Top Bottom