Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Teh teh..Huu utakuwa utani aisee.
Huko vichochoroni ndo uwa wanaziacha kondom hapohapo..kesho unakauta mtt anapuliza kama putoSasa wanataka tufanyie vichochoroni au Hahaha
Hii sio kweli bwanaaKutokana na wimbi la mauaji yanayoendelea jijini hapa hasa kwenye nyumba za wageni. Meya wa Jiji na Mkuu wa Mkoa wamepitisha Sheria hizi ambazo zita anza kutumika tar 15/5/2016. Sheria hizo.
1. Mnapoingia guest house mnapaswa muwe na barua toka serikali za mtaa.
2. Wote wawili muache copies za vitambulisho na hati za kuzaliwa
3. Wote wawili mtapiga picha mkiwa meshikana mikono na kuziacha hapo guest house likitokea lolote ziweze kutumika
4. Hati za kiapo kuwa hamchepuki
5. Kama mnachepuka basi muandike barua ya maelezo kwa nini mnachepuka
Sheria hizi zinapaswa kutumika kwa kila anayeenda kulala nyumba za wageni.
Itasababisha wageni kupungua kwenye hizo Guest House a.k.a Lodge. Wageni wakipungua, mapato ya wenye hizo Guest House yatapungua. Mapato yakipungua wenye Guest House watapunguza wafanya kazi (Unemployment) na Kodi ya Mapato itapungua kwa Serikali.Kutokana na wimbi la mauaji yanayoendelea jijini hapa hasa kwenye nyumba za wageni. Meya wa Jiji na Mkuu wa Mkoa wamepitisha Sheria hizi ambazo zita anza kutumika tar 15/5/2016. Sheria hizo.