Meya apitisha Sheria mpya za Kutumia Guest House

Meya apitisha Sheria mpya za Kutumia Guest House

Kutokana na wimbi la mauaji yanayoendelea jijini hapa hasa kwenye nyumba za wageni. Meya wa Jiji na Mkuu wa Mkoa wamepitisha Sheria hizi ambazo zita anza kutumika tar 15/5/2016. Sheria hizo.
1. Mnapoingia guest house mnapaswa muwe na barua toka serikali za mtaa.
2. Wote wawili muache copies za vitambulisho na hati za kuzaliwa
3. Wote wawili mtapiga picha mkiwa meshikana mikono na kuziacha hapo guest house likitokea lolote ziweze kutumika
4. Hati za kiapo kuwa hamchepuki
5. Kama mnachepuka basi muandike barua ya maelezo kwa nini mnachepuka

Sheria hizi zinapaswa kutumika kwa kila anayeenda kulala nyumba za wageni.
Hizi kiboko
 
🙁😕😎😳🙄😵??
 
Chizi hii sio habari ya kweli! Mtu tu kaamua kujifikirisha harafu akamtilia maneno kinywani Mh Meya!
 
Hizo barua za nini sasa picha na vitambulisho si vinatosha
Barua ueleze kwa nini unachepuka labda una sababu muhimu hata mwenye wako akiwafumania ajue kama anahitaji kujipanga upya. Hii ya 5 imenichekesha sana!
 
teh teh teh mpaka na sababu za kuchepuka wanazitaka duuuu kwel wamedhamilia aise
 
Hata hotel watu hawafanyi hivyo kwanza lazma washindwe kwavle tu hapa town asilimia kubwa ya wateja wa guest ni wachepukaji
 
Dah!! Basi ngoja tufunge biashara hamna jinsi
 
Tutanunua Noah zenye Vitanda tzitumie... hali imezidi kuwa tight Machangu wamepungua,Gest ni tight Kuchapia kwenye gari ni kosa Mbona tutaoa mwaka huu
 
Tutanunua Noah zenye Vitanda tzitumie... hali imezidi kuwa tight Machangu wamepungua,Gest ni tight Kuchapia kwenye gari ni kosa Mbona tutaoa mwaka huu
Dah... nani kakuambia ni kosa? Kama mnafanya mkiwa mnaonekana hapo sawa. Lakini kama mmejifungia ndani hamuonekani haina shida...
 
Duh! Huyo Mkuu wa mkoa na meya ..ni hatariii.. Japo haijulikani ni wa wapi!!
 
Waache umbumbumbu mie nataka nikapumzike nianze kuhangaika na mjumbe anipe barua tena??
Hahahaha bhana rubi acha mambo yako bhana kwa hiyo ukitoka mihangaikoni ndo uende ukaipunguze na mume wa mtu
 
Hahahaha bhana rubi acha mambo yako bhana kwa hiyo ukitoka mihangaikoni ndo uende ukaipunguze na mume wa mtu

Haijalishi naenda kupumzika na nani yanayowahusu hawafuatilii watuhangaikie sie tunaostareheka kwa gharama zetu?
 
DEAR WACHEPUKAJI WENZANG...
napenda kuwapa mbinu mbadala wa kuingia gesti usipige picha...

ipo hivi 1. ongeza bajeti ya chumba. Kama chumba ilikua sh. 20000 tenga elfu 40
2.mtumie mchepuko wako elfu 20(usitumie simu yako nenda kwa wakala moja kwa moja)
3.mwambie achukue chumba ktk guest mliyo kubaliana
4.Na wewe nenda kachukue chumba chako
4.kila mtu afike kwa muda wake kisha mtachagua chumba kimoja cha kutumia

MAANA HIYO SHERIA HAISEMI MTU AKIENDA PEKE YAKE ANAPASWA APIGE PICHA.

ONGEZA MBINU NYINGINE DEAR MCHEPUKAJI MWENZANGU

hahahahah natania wajomba tiini sheria bila shuruti
 
Vichaka na mapori yapo kibao..
Ni mwendo wa kuinamishana quicky tuuu
 
Napata picha labda mwenye gest hajapata mteja tangu asbui thn ww umeenda pale sa 9 mchana afu unapewa yale masharti yote unayakataa afu unaamua kusepa unafkr mwny gest hatafanya maarifa!!?!!
 
Napata picha labda mwenye gest hajapata mteja tangu asbui thn ww umeenda pale sa 9 mchana afu unapewa yale masharti yote unayakataa afu unaamua kusepa unafkr mwny gest hatafanya maarifa!!?!!
utapigwa picha kisirisiri hata kama akifanya maarifa. Unadhani likitokea la kutokea yeye atakuwa salama akiamua kufanya magumashi?
 
utapigwa picha kisirisiri hata kama akifanya maarifa. Unadhani likitokea la kutokea yeye atakuwa salama akiamua kufanya magumashi?
Apo sasa umenikumbusha kuna gest zina kamera z siri wanakula chabo
 
Uzuri wake Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe ama Mkuranga siyo mbali.
 
Back
Top Bottom