Meya azuiwa tena kuingia kwenye kikao

lengo la ccm ni kuiba hela halafu wakishachota wamsingizie Meya ili afunguliwe kesi ya utakatishaji
Acheni kung'ang'ania madaraka, meya hela anabeba kwenye briefcase au!! Sababu zenu hazina mashiko
 
Huo ni ushauri wa uoga haufai na utajenga taswila kuwa ana makosa wakati anaonewa, lazima akomae apiganie nafasi yake kiume amuombe mungu kwa bidii apate kushinda ushetani wa makonda anaoupenyezea kupitia naibu meya na mkurugenzi wa jiji
 
Hata hili mtamsingizia Kangi Lugola?
Wizara ya Mambo ya ndani kuna nini mpaka mnamsumbua Mh. Rais? Wakati Kangi anatumbuliwa huku pembeni polisi wanamsulubu Mh. Meya!
Polisi siku wakifikishwa The Hague ndipo wataacha kushabikia ccm
 
Haya mambo ya kihuni hayawezi kukoma hadi pale wananchi mtakapoacha kuendekeza uoga wa tear gas na risasi za moto
 
lengo la ccm ni kuiba hela halafu wakishachota wamsingizie Meya ili afunguliwe kesi ya utakatishaji
Acheni kung'ang'ania madaraka, meya hela anabeba kwenye briefcase au!! Sababu zenu hazina mashiko
anaondoka kwa utaratibu upi ?
Ajiuzuru kulinda heshima yake vinginevyo ni msaka tonge tu na hana means nyingine ya kuishi, atazoea tu sio lazima awe meya jamani.
 
Haya mambo ya kihuni hayawezi kukoma hadi pale wananchi mtakapoacha kuendekeza uoga wa tear gas na risasi za moto
Njia pekee ya kukataa ushetani wa ccm ni hii na imekuwa bahati mabalozi wameona wameshuhudia ushetani wa mkurugenzi na wenzake inazidi kuharibu heshima ya Nchi
 
Kwanini hakuna intervention ya chama kwenye swala hili? Naona kama anapambana individually!
 
Acheni kung'ang'ania madaraka, meya hela anabeba kwenye briefcase au!! Sababu zenu hazina mashiko
Ajiuzuru kulinda heshima yake vinginevyo ni msaka tonge tu na hana means nyingine ya kuishi, atazoea tu sio lazima awe meya jamani.
Ajiuzuru kivipi? Msaka tonge na means zingine za kuishi vina uhusiano gani na kuzuia mbinu haramu za kumg’oa? Tambua kuwa moja ya nguzo ya Heshima ni kupigania haki mpaka tone la mwisho siyo kukimbia kienyeji apate kuwapa mwanya waende kumbambikia kesi, wasaka tonge ni wale waliopenyeza ushetani wa kutaka kumng’oa, acha kulea uovu acha kukubali ushetani wa ccm kuwaonea watu.
 
Kwanini hakuna intervention ya chama kwenye swala hili? Naona kama anapambana individually!
Chadema wote wana kesi za kubambikiwa wanamsaidia kupitia madiwani wa chadema wote kuchelewa kumng’oa ni juhudi za viongozi wa chadema pia
 
Hivi watoto wake wanamuoneje baba mzima kutwa kusukumasukuma tu, hata akibakia na umeya heshima yake iko wapi hapo. Yule ni mtu mzima so matimbwili ya vile aachie vijana.
 
We Masinki ya mavi unataka asihudhulie hata kikao cha kamati ambacho Madiwani wanaruhusiwa kuhudhuria ? Na yeye alienda pale si kama Meya bali Diwani/Mjumbe wa Kamati husika.
 
Acheni kung'ang'ania madaraka, meya hela anabeba kwenye briefcase au!! Sababu zenu hazina mashiko
Ajiuzuru kulinda heshima yake vinginevyo ni msaka tonge tu na hana means nyingine ya kuishi, atazoea tu sio lazima awe meya jamani.
Anza na mume wako Kwanza ndiyo uje kuwashauri wengine pimbi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…