Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
*Wakuu Habari za Usiku Huu na ninawasalimu katika Jina la Yesu*
1.Nilifanikiwa kufika Nyumbani Usiku uleule,Na Kukuta wanafamilia,Majirani wote wakiwa kweye Taharuki.
2.Ni kweli wanao zaniwa kuwa Askari wawili (2) waliovalia Sare za JWTZ na Wengine watatu( 3) baada ya Kuongezeka wawili (2) Wakati Napewa taarifa Na Wanafamilia wakiwa bado chini ya Ulinzi Walidumu kwa Takribani Muda wa saa 1,kati ya Mida ya Saa 1 kasorobo Mpaka Saa 2 Usiku.
3.Ni kweli Walifanikiwa kuingia Vyumbani na Kupekua Kila kitu kila Mahali.Wakati huo Mimi sipo Nyumbani,Hakuna jirani,wala polisi aliyeshuhudia zoezi lao.
4.Ni kweli Wamerekodi Video na Kupiga picha kila walichopekua na Wanaye Muhoji.Kwa kuwalazimisha kwa Nguvu.
5.Walipokuwa Wanagonga Geti walidai wao wametokea Hospitali ya Lugalo,ambako Mdogo wangu amelazwa huko,Kuna taarifa Muhimu wanataka kuwapatia familia,Na walipo ingia Ndani ya geti wakawageuzia kibao cha kuwaweka chini ya Ulinzi nakuanza zoezi la Kupekua kinyume na Sheria za nchi za kuwataka Kibali cha ukaguzi na Mashahidi.
6.Jinsi walivyofika Nyumbani,Askari walio valia Sare za Jeshi JWTZ walimfuatilia Nyuma kwa pikipiki aina za Boxer Binti yangu Tangu alipotoka Hospitali
Mwenge,kabla ya kuvamia nyumbani na walipo fika walimtaka asipige kelele na Kumweka chini ya Ulinzi nje Ya Uzio wa Nyumbani mpaka walipomaliza Zoezi lao.
7.Baada ya wao kuondoka na Sisi Tumekagua Maeneo yote waliopekua kuangalia kama kuna kitu cha aina yeyote wameweka au kuficha,pamoja na vitu walivyoondoka navyo,Kwa Macho ya kawaida hatujatambua jambo lolote kwa Wakati huu.
8.Nimefika Lugalo Haraka Usiku huu kuhakiki kama watu hao wajulikana kama walivyojitambulisha walipoingia Nyumbani kwangu, na kuonana na Daktari wa zamu.ambapo Ameniambia *Hospitali haina utaratibu huo wala hawajawahi kufanya jambo hilo,*
Na Mgonjwa wangu hana jambo la kufanya nipekuliwe Nyumbani kinyume na Sheria, Hivyo Tangu saa saba Mchana Mpaka sasa Saa Nne,yeye bado ndiye aliyempokea na ndiye anaye Mtibu Mgonjwa wangu hivyo
*Hakuna Mtu yeyote aliyetumwa rasmi na Hospitali ya Lugalo wala Jeshi kwenda Nyumbani kwangu kunifanyia upekuzi na ni kinyume na taratibu zao za Jeshi,Hawana Utaratibu huo na awajui nani aliye kwenda kutumia jina la Hospitali katika tukio la kiarifu.*
9.Usiku huu nimetoka Kituo cha Polisi cha URAFIKI kutoa Taarifa ya kuvamia na watu wanaosadikiwa kuwa ni askari wa JWZT.Tayari nimepewa RB No URP/RB/3028/2018 na sasa narejea Nyumbani.Usiku huu Saa 8 kasorobo.
*10.MWISHO*
Nawashukuru Ndugu jamaa,Majirani,marafiki pamoja na Wanachana kwa Wananchi waliosogea kuzingira Nyumba baada ya kutoa Taarifa Za Uvamizi kutoka sehemu mbalimbali,Ingawa waliwakosa wahusika.
*Bado niko imara na Salama*
#Boniface_Jacob