Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mimi kwangu nimeanza kuchimba handakiWameanza kutumia jeshi sasa tumekwisha, muda wowote nchi itaingia kwenye machafuko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kwangu nimeanza kuchimba handakiWameanza kutumia jeshi sasa tumekwisha, muda wowote nchi itaingia kwenye machafuko
Huu ni mrejesho, kuna uzi alipandisha kuhusu kuvamiwa kwake na muda huo ndo alikuwa anaelekea kwake. Polisi ametoa taarifa baada ya kufika kwake na wao kufanya upekuzi... Huyu meya ni bure kiukweli.Kwani si ameshasema kwamba ameripoti polisi.
TwaaaafaaaaUnafikia mahali unashawishika kuwaza vibaya...
Nilisema muda mrefu hao watu ni wa kupiga viberiti tu. Halafu na ww meya Jacob lile sakata lako na bashite tume ya maadili liliishia wapi?
Kuna picha siku za nyuma zilionesha Bashite kutanguzana na watu wenye sare za JWTZ. Sijui wale ni askari wanaotambuliwa au Bashite ametengeneza genge lake lisilotambulika kisheriaJWTZ haiwezi kufanya upuuzi kama huu, weledi na uadilifu wa Jeshi letu unafahamika, hao ni watu wasiojulikana.
Bado anakuja mjinga anakuambia eti nchi yetu ni salama. Shame on u.Kuna picha siku za nyuma zilionesha Bashite kutanguzana na watu wenye sare za JWTZ. Sijui wale ni askari wanaotambuliwa au Bashite ametengeneza genge lake lusilotambulika kisheria
Hao ni Askari wa DABWameanza kutumia jeshi sasa tumekwisha, muda wowote nchi itaingia kwenye machafuko
..wale wa tar 26/4 wanapuuzwa lkn wajadili jambo la maanaUnafikia mahali unashawishika kuwaza vibaya...
Siyo rahisi kiasi hichoWalishindwa vipi kuwaitia wezi wawekwe chini ya ulinzi,wahojiwe ni wao ni nani na wametumwa na nani, vipi yeye hana hidden camera za kurecord matukio nyumbani kwake.Sema wanajua shughuli ya Bon wakamvizia hayupo pasingetosha hapo.