Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

Panga kakabiziwa chizi mwezi ukiwa mchanga ahida ukiingia ndani shida nchi ya shelia mkononi katiba kapuni msiniamulie msinipangie ndio kauli ya jiwe mshika upanga
 
Halafu meya Jacob ulishindwa kweli kuwapigia simu majirani zako wafike nyumbani kujua kulikoni kwa hilo kundi la wahuni? Toka lini wanajeshi wakakagua nyumba za raia tena bila kibali wala kufuata taratibu za kisheria?
 
Sasa kama mkuu wa nchi ni mtetea haki kweli toa tamko kulaani hili au utanyamaza kama vituo vya Clouds kuvamiwa au ofisi za wanasheria kupigwa mabomu.
 
Halafu meya Jacob ulishindwa kweli kuwapigia simu majirani zako wafike nyumbani kujua kulikoni kwa hilo kundi la wahuni? Toka lini wanajeshi wakakagua nyumba za raia tena bila kibali wala kufuata taratibu za kisheria?
Ewaaaah
 
An intelligent guess would be "Hawa ndio walio kauga mawingu station na kuwapiga mitama wale wambea"

JWTZ wana taratibu zao na wakague nyumba ya meya ya nini!?!?

Hizo sare za jeshi ni zile wanazo vaa wazee wa ununio!

Hata Ukiangalia trend ya matukio, hii ndio staili yao ya kufanya uhalifu.

Suspects
1-mzee wa tezi dume
2-branch within a branch huko ununio.

Kuna mawili either kuna jambo unalifanya linatishia interest zao au wanataka kuku intimidate tu ili uhamie airtel!
 
Wewe naye bure kabisa. Unapewa taarifa kuwa umevamiwa nyumbani kwako badala ya kutoa taarifa polisi uende nao sehemu ya tukio, unaandika kwenye mtandao kuwa umevamiwa. Are you serious? Meya mwenye mbwembwe hivyo, huna hata security cameras ili upate kwa kuanzia!!!
 
Walivalia.. hakuona vitambulisho
Inaweza wakawa wenzake wa Chadema kwa asilimia kubwaaaa...
 
Yanayotusibu na yajayo yanasikitisha
 
Hicho kitakua ni kile kikosi cha bashite alichopewa na babayake kuthalilisha misingi na miiko ya waasisi wa taifa hili.
Li nchi sasa hivi liko shanhalabangala. Utawala wa sheria umejifilia.
 
Kwani si ameshasema kwamba ameripoti polisi.
 
Pole sana ila sasa inabidi kuchunguza kitaalam hapo nyumbani wasijekuwa wamepandikiza vitu vya kukudhuru iwe ni kwa muda mfupi au mrefu
 
Halafu meya Jacob ulishindwa kweli kuwapigia simu majirani zako wafike nyumbani kujua kulikoni kwa hilo kundi la wahuni? Toka lini wanajeshi wakakagua nyumba za raia tena bila kibali wala kufuata taratibu za kisheria?

Si ulishaambiwa waliiweka familia yake chini ya ulinzi, wangewezaje kuwaambia kwa majirani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…