Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

Tumia lugha mzuri hatuwapondi bali tunawakosoa pale wanapo kwenda vibaya maana hakuna aliye kamilika
 
Mbona mnakuwa wazembe kufunga CCTV kwenye majumba yenu wakati mnajua hali halisi ya sasa hivi.

Fungeni kamera kwenye majumba na magari yenu
Zile zilizokuwa zimefungwa nyumbani kwa Lissu ziko wapi sasa hivi?
 
..kwanini Polisi hawakwenda nyumbani kwa Mstahiki Meya Jacob na kukabiliana na hao waliovamia na kufanya upekuzi?
Huko nyumba kwa Meya kuna sensor kwamba ikishasense tukio la hatari inatuma taarifa polisi muda huohuo? Unaposema polisi hawakwenda unapaswa pia kujua walipewa taarifa ya hilo tukio ndani ya muda gani?
 
Halafu meya Jacob ulishindwa kweli kuwapigia simu majirani zako wafike nyumbani kujua kulikoni kwa hilo kundi la wahuni? Toka lini wanajeshi wakakagua nyumba za raia tena bila kibali wala kufuata taratibu za kisheria?
Hawa CDM ndo maana mkuu huwa hawapendi kwa kutunga story tu hawajambo hawa wa kupigwa tu kwa kweli.....
 
Hao watu wanajiamini vipi? Kama walikuwa wanafanya upekuzi kinyume na utaratibu halafu wakati huohuo wanakubali wachukuliwe picha za video mwanzo mwisho kana kwamba ni zoezi lililoandaliwa.Pamoja na kupewa RB lakini HABARI HII INA MASHAKA MAKUBWA.
 
 
Bony ni kubwa jinga badala ya kupiga simu polisi au hata kwa majirani eti lina-tweet kwa makene, linakalia kunenepesha mwili wakati njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba!
 
hiii h
abari inaendana na ile ya yule mbwa wa nasari aliyepigwa risasi, vioja na vihoja vya mjini
 
Wasiojulikana hao chini ya uongozi wa mfojaji vyeti Bashite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…