Mbona Magufuli ameingia miezi michache iliyo pita lakini walau kuna mambo kayafanyia kazi.Amekusikia.
Ila kumuita jipu ili hali hajamaliza hata miezi 2 ofisini ni U JIPU pia.
Hata mimi, nakwazika na hiyo barabara, naamini UKAWA watalifanyia kazi hili mapema kabla mwaka haujaisha.
Mambo gani aliyofanya yakanigusa mimi "end user?"Mbona Magufuli ameingia miezi michache iliyo pita lakini walau kuna mambo kayafanyia kazi.
Huyu mayor zake maneno, lakini hakuna anacho fanya, kwangu bado ni jipu tuu.
barabara hiyo nimetolea mfano, lakini barabara chini ya manispaa ya kinondoni ni mbaya na ukipita sasa ivi utakuta wanaziba mashimo kwa udongo.Mambo gani aliyofanya yakanigusa mimi "end user?"
Usijitoe ufahamu kwa vitu vya msingi na kuleta ligi zisizo na maana hapa.
By the way, kwani hiyo barabara haimhusu Rais na waziri wake wa ujenzi?!
kili cha maendeleo ambacho magufuli amefanyia kaziMbona Magufuli ameingia miezi michache iliyo pita lakini walau kuna mambo kayafanyia kazi.
Huyu mayor zake maneno, lakini hakuna anacho fanya, kwangu bado ni jipu tuu.
leo hiimnajitoa akili kuwa hata chaguzi za mameya figisu zilikuwa nyingi sehemu zote ukawa walipokuwa na wajumeNina amini Halmashauri na manispaa zinazoongozwa na UKAWA hazina jambo jipya la kusukuna maendeleo, kwa kuwa walioteuliwa kuziongoza wana mawazo mgando na wamejaa mipasho na kejeli tu vichwani mwao. Nasubiri, kusahihishwa kwa hili, kwa kuwa katika siku 100 za uongozi wa Rais Magufuli, hawajathubutu wao wenyewe kutoa tathmini ya maeneo yao wanayotawala, wamefanya vizuri kiasi gani.
Japo ukawa wanajisifu kushinda uchaguzi lakini hadi sasa hakuna mabadiliko yoyote.
Nadhani mayor wa kinondoni aachane na majigambo yasiyo na maana badala yake tuone mipango uliyo nayo.
Sijaona manispaa yenye barabara mbovu ukiacha zile za Tanroad kama kinondoni.
Kuna siku nimepita njia ya hospitali ya mwananyamala sitasahau, nilihisi nimepotea njia.
Barabara ni mbovu lakini utakuta kinamama bado wanazifagia na watu wanapiga pesa kama kawaida.
Mr Bonface tunataka kuona vitendo maneno tumesha yazoea.
Hadi sasa naona mnaziba viraka vya lami kwa odongo , kweli ukawa ni jipu.
Magufuli kafanya nini cha maana? Kajenga nini toka aingie madarakani?Mbona Magufuli ameingia miezi michache iliyo pita lakini walau kuna mambo kayafanyia kazi.
Huyu mayor zake maneno, lakini hakuna anacho fanya, kwangu bado ni jipu tuu.
Hayo mashimo kwanini hayakuzibwa enzi za utawala wa CCM?barabara hiyo nimetolea mfano, lakini barabara chini ya manispaa ya kinondoni ni mbaya na ukipita sasa ivi utakuta wanaziba mashimo kwa udongo.