Tetesi: Meya Kinondoni ni Jipu

Mambo gani aliyofanya yakanigusa mimi "end user?"

Usijitoe ufahamu kwa vitu vya msingi na kuleta ligi zisizo na maana hapa.

By the way, kwani hiyo barabara haimhusu Rais na waziri wake wa ujenzi?!
Kwan lazma uguswe ww sis wenye watot wanaosoma shule za msingi tumegusw.....na uwajibjikaj wake kwa raia wake
 
Kwan lazma uguswe ww sis wenye watot wanaosoma shule za msingi tumegusw.....na uwajibjikaj wake kwa raia wake
Ni lini elimu ya msingi iliwahi kuwa gharama?!

Kama umeweza kununua Smart phone na kuweka bundle kila wiki, unashindwa nini kumpeleka mwanao shule ya msingi/kata?!
 
Ni lini elimu ya msingi iliwahi kuwa gharama?!

Kama umeweza kununua Smart phone na kuweka bundle kila wiki, unashindwa nini kumpeleka mwanao shule ya msingi/kata?!
Ckia nimekutolea mfano kwangu mm........ndo mana nkakuambia cyo lazima uguswe ww ......cjui umenipata vzr mkuu...
 
Kawaida kabla ya utekeleji wa miradi unapanga bajeti halafu unakusanya mapato ndiyo unatekeleza. Mameya wapya hawajapanga bajeti bali wanatumia zilizoachwa na mafisadi wa CCM. Mbali na bajeti inawezekana walikomba pesa zote kabla ya kuondoka kama walivyozoea. Lawama zitolewe kuanzia Julai 2016 baada ya Halmashauri kuanza mwaka mpya wa fedha.
 
Ubovu wa hizo barabara walilie walioongoza miaka 50 iliyopita
 
Ulikuwa unataka Kinondoni ifanane na Hong Kong ndani ya miezi 2?vipi walioko madarakani miaka 50 mbona hawakufanya hivyo isitoshe Ngosha ndio alikuwa Waziri mwenye dhamana hakuiona hiyo bara bara taratibu mkuu au na wewe ulikuwa Mombasa.
 
sio kila barabara inashughlikiwa na Tanroad mkuu
 
Mpe muda Meya wa Ukawa ndio kwanza wameanza kazi subiri bajeti ya Mwaka wa Fedha unaoanza Julai.
 
Mpe muda Meya wa Ukawa ndio kwanza wameanza kazi subiri bajeti ya Mwaka wa Fedha unaoanza Julai.
ukawa ni jipu. maneno mengi utendaji 0. eti tumpe muda, mbona porojo kwenye vyombo vya habari anaziweza?
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu mtu hana mwezi ofisini unaongelea project kubwa kama barabara? Inaonekana hujui halmashauri/manispaa zina budget zake na hapa tuko katika mwaka wa budget 15/16,ambapo anatakiwa kumalizia huo kwanza, stupid
 
Na mnaanza kumlaumu meya wa cdm kwa kazi mbovu iliyofanywa na meya wa ccm, subiri miaka ya budget ijayo kama kazi haitafanyika huko ndio mtamjudge mtu, hii ni aibu kupost kitu kama hiki.
 
twambie nini kafanya kwa miezi aliyokaa ofisini zaidi ya kunywa chai na kuchakaza viti
 
Na mnaanza kumlaumu meya wa cdm kwa kazi mbovu iliyofanywa na meya wa ccm, subiri miaka ya budget ijayo kama kazi haitafanyika huko ndio mtamjudge mtu, hii ni aibu kupost kitu kama hiki.
Mayor maneno mengi utadhani ni afisa mawasiliano? Tunataka kazi zionekane walau hata mipango, mipasho haina nafasi 2015-2020
 
Mbona Magufuli ameingia miezi michache iliyo pita lakini walau kuna mambo kayafanyia kazi.
Huyu mayor zake maneno, lakini hakuna anacho fanya, kwangu bado ni jipu tuu.
hivi wewe una akili kweli hebu rudia kusoma ulichoandika halafu
urudi tena humu
 
barabara hiyo nimetolea mfano, lakini barabara chini ya manispaa ya kinondoni ni mbaya na ukipita sasa ivi utakuta wanaziba mashimo kwa udongo.
Punguza ujinga na kiherehere.Hivi kwa kutokuwa na meya wa jiji ulitegemea vikao na allocations za rasilimali zilizopo zifanyike vipi?Au unafikiri meya anatumia pesa zake mfukoni kutengeneza barabara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…