Tetesi: Meya Kinondoni ni Jipu

Punguza ujinga na kiherehere.Hivi kwa kutokuwa na meya wa jiji ulitegemea vikao na allocations za rasilimali zilizopo zifanyike vipi?Au unafikiri meya anatumia pesa zake mfukoni kutengeneza barabara!
Tatizo lenu mnakomaa kutetea upuuzi kesho utasikia mnaandamana .
 
yaanhata hujui kua tunamalizia bajet yakikwete2015 -2016 june kisha bajet ya maguinaanza june 2016-2017
 
yaanhata hujui kua tunamalizia bajet yakikwete2015 -2016 june kisha bajet ya maguinaanza june 2016-2017
Acha meneno mengi , sema tika.
mchukue ofisi nini mmefanya cha maana zaidi ya kugombana na makonda .
 
JE, UNAONAJE UKIFANYA TATHMINI YA MKOA MZIMA WA DSM KULIKO KUANGALIA SEHEMU MOJA????

KWANINI USIFANYE TATHMINI UKILINGANISHA NA WALE WALIOPITA MAMBO AMBAYO WAMEFANYA KIPINDUI CHOTE WALICHOKUWA MADARAKANI??

FUNGUKA MKUU
 
Kinondoni hali ni mbaya zaidi
 
Tatizo lenu mnakomaa kutetea upuuzi kesho utasikia mnaandamana .
Tumia ubongo kufikiri mkuu acha mhemko.Ulitegemea waanze kwa kufukuza watu na mgambo wa jiji kama mlivyozoea!maana hata bajeti unajua bado na kama ujuavyo nyumba ilikuwa na vibaka hata meza za ofisi huenda wameuza?Najua una machungu kuipoteza Dar city kwa ukawa ila tambua hata simba anapowinda hashiki mkia anakamata koromeo na kubana mishipa inayopeleka damu kichwani mwa huyo aliyekamatwa-hivyo kelele zenu ni kama mateke ya pundamilia aliyelazwa chini na simba kabla ya kufa.
 
Kinondoni hali ni mbaya zaidi

JE, HUYU MEYA KWANI NDIYE WA KWANZA KUONGOZA HAPO KINONDONI?????

KAMA BARABARA NI MBOVU, HUDUMA DUNI INABIDI TUANZE NA WALIOMTANGULIA WALIFANYA NINI MIAKA YOTE MITANO KULIKONI KUMTUHUMU HUYU MWENYE MWEZI MMOJA
 
barabara hiyo nimetolea mfano, lakini barabara chini ya manispaa ya kinondoni ni mbaya na ukipita sasa ivi utakuta wanaziba mashimo kwa udongo.
Bajeti yao bado haijatoka. Ndio kwanza wameanza, wanaandaa mpango kazi wa kusafisha pale waliposhindwa waliotangulia. Kuwa Na subira bado mapema sana.
 
ana muda gani toka amechaguliwa kuwa meya? Bajeti ngapi zimepita toka awe meya? Kichwani kwako hapako vzr tarajia kuumizwa sana sehemu za siri we dada
 
Bajeti yao bado haijatoka. Ndio kwanza wameanza, wanaandaa mpango kazi wa kusafisha pale waliposhindwa waliotangulia. Kuwa Na subira bado mapema sana.
Katavi na we unaonekana ni jipu
 
ana muda gani toka amechaguliwa kuwa meya? Bajeti ngapi zimepita toka awe meya? Kichwani kwako hapako vzr tarajia kuumizwa sana sehemu za siri we dada
Miezi 3 yabutawala ni mingi sana. Waacha waendelee na sherehe za uchaguzi, 2020 msianze kuandamana eti mmeibiwa kura.
 
Mambo gani aliyofanya yakanigusa mimi "end user?"

Usijitoe ufahamu kwa vitu vya msingi na kuleta ligi zisizo na maana hapa.

By the way, kwani hiyo barabara haimhusu Rais na waziri wake wa ujenzi?!
elimu bure......
 
We jamaa wewe huyo Boniface ana muda gani madarakani? Mh
 
Wewe ni tabu tupu kama jina lako. Meya ana muda gani madarakani mpaka umuite jipu?
 
Huyo boniface Jacob tulisoma nae upareni shule inaitwa parane alikuwa mkorofi mbabe mbabe hv mjinga mjinga the kweli eti Leo nae ana akili ya kuongoza watu enzi zile kiongoz wa shule kazi yake ilikuwa kupiga wadogo zake mikanda tu
 
barabara hiyo nimetolea mfano, lakini barabara chini ya manispaa ya kinondoni ni mbaya na ukipita sasa ivi utakuta wanaziba mashimo kwa udongo.
kwan aliepita alikaa miaka mingapi madarakan na akaacha barabara mbovu bado?jambo lililoshndwa kufanyika ten years mnataka watu wafanye kwa miezi miwili???achen ushabiki wa kisiasa bhana achen watu wafanye kazi zao kwa uhuru
 
Huyo boniface Jacob tulisoma nae upareni shule inaitwa parane alikuwa mkorofi mbabe mbabe hv mjinga mjinga the kweli eti Leo nae ana akili ya kuongoza watu enzi zile kiongoz wa shule kazi yake ilikuwa kupiga wadogo zake mikanda tu
pole sana mkuu so jamaa alikuchapa sana sn skuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…