Fred Mwakitundu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 227
- 382
Menya wa Manispaa ya moshi Juma Raibu, ameibu madai mazito dhidi ya Kampuni ya Kilimanjaro Bus akidai kampuni hiyo ilijaribu kumhonga kiasi cha shilinig Milioni tano ili aisitishe mpango wake wak utaka kuvunjwa kwa sehemu ya uzio uliowekwa kweney hotel ya Kampuni hiyo iliyop katikati ya mji wa Moshi.
ikumbukwe kuwa Machi Mosi Meya huyo alitembelea eneo la Hotel hiyo baada ya kupokea malalamiko ya wananchi kwamba eneo la wazi walilokuwa wakilitumia kwa ajili ya uchuuzi limezungushiwa uzio huku wakidai kunyanyaswa na uongozi wa Hotel hiyo.
Eneo la hotel hiyo ndipo zilipo ofisi za kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro hutumiwa na mabasi ya kampuni hiyo kama kituo chao kwa ajili ya kubeba na kushusha abiria wao na hapo wachuuzi pamoja na madereva taksi hujipatia kipato kutoka kwa abiria wanaosafiri kupitia mabasi hayo.
Baada yaukimya wa muda kidogo zikaibuka taarifa kuwa menya huyo amenywea na kushindwa kuchukua hatua kwa vile amepwa kitu 'kidogo' na juzi alipoulizwa alikiri kuwepo na kishwishi hicho alkini alikikataa na kusisitiza lazima uzio huo uondolewe .
"Ni kweli walitaka kunipa rushwa ya milioni tano lakini nikazikataa,mkuu wa wilaya na taarifa, DSO ana taarifa na Takukuru wanataarifa lakini kesho tunakutana nao kwa mkuu wa wilaya nitakuita uje uchukue habari", akasema, Meya Raibu .