Meya Mlaki: Wananchi wa Goba wanataka daraja la Mtipesa likamilike kwa wakati

Meya Mlaki: Wananchi wa Goba wanataka daraja la Mtipesa likamilike kwa wakati

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Na hizi mvua ambazo zimeanza kunyesha ni hatari sana!
===========
Diwani wa Kata ya Goba Lawrence Mlaki ameishukuru serikali kwa kuchukua hatua juu ya daraja la Goba Mtipesa ambapo imeagiza dara hilo kuvunjwa kutokana na zege lililotumika kujenga daraja hilo kutokidhi viwango vya ubora.

Meya Mlaki ameyasema hayo leo Machi 30, 2026 baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kutoa maagizo kuwa daraja hilo livunjwa na mkandarasi akamatwe.

Wananchi wa eneo hilo akiwemo Junior ameeleza kuchukukizwa na watu wanaoaminiwa na serikali kutokua waaminifu kwani miradi ya serikali hawaifanyi kwa uaminifu.

 
Back
Top Bottom