TANZIA Meya Mstaafu Mahmoud Mussa Wa Jiji La Zanzibar Afariki Dunia

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Zanzibar, Ndg. Mahmoud Muhammed Mussa amefariki Dunia leo Aprili 6, 2026.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Familia ambapo Maziko yatafanyika kwake Fuoni Mambosasa na Maiti itaswalia Msikiti wa Mwembeshauri kesho April 7, 2026 baada ya Sala ya Alaasiri na kuzikwa Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Marehemu Mahmoud Muhammed Mussa, wakati wa uhai wake, aliwahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi (BLW).

Inna Lillaahi Wainna llahi Raajiun
 
? !!!
 
Dah pole kwa wafiwa.
 
Back
Top Bottom