Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Chawa msimu wa kujipendekeza kwa viongozi huu.Kuelekea uchaguzi muku,
hakuna haja ya kiongozi kuibua visingizio ikiwa amesense kukataliwa na wananchi hasa baada ya kushindwa kuwatumikia wananchi hao kulingana na ulivyo waahidi. Hakuna muda tena 🐒
Ila njaa bwana yaani mtu anaenda mtajirisha mwenzake kwa ujira wa 30k na 70kAngela kairuki anagawa pesa kama njugu huko kibamba
Juzi katoa 70000 kwa kila mjumbe.
Mtenvu kazidiwa baada ya kutoa 30000
Ccm ni janga
Wanapo zidiana katika hii minada; huyo aliyezidiwa anarudishiwa pesa yake au vipi?Angela kairuki anagawa pesa kama njugu huko kibamba
Juzi katoa 70000 kwa kila mjumbe.
Mtenvu kazidiwa baada ya kutoa 30000
Ccm ni janga
Ni mkazi wa Jimbo Hilo ???Angela Kairuki anagawa pesa kama njugu huko Kibamba
Juzi katoa 70,000/- kwa kila mjumbe.
Mtemvu kazidiwa baada ya kutoa 30,000/-
CCM ni janga
Hakuna kurudishiwa mzWanapo zidiana katika hii minada; huyo aliyezidiwa anarudishiwa pesa yake au vipi?
Kwa hiyo ni mchezo wa patapotea!Hakuna kurudishiwa mz