Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI

Na Mwandishi Wetu

Katika hali ya kustaajabu kundi la wafanya Biashara Wa Samaki Mkoani Kilimanjaro Manispaa Ya Moshi Wamelaani Vikali Kitendo Cha Baadhi Ya Wafanyabiashara Wenzao Pamoja Na Watumishi Wilaya Ya Hai Kuwachangisha Kila Siku Jambo Ambalo Limezidi Kila Siku Hadi Kufikia Kukatika Mitaji Yao.

Kundi Hilo Leo Limefikiana Makubaliano Baada Ya Kupitia Machungu Ya Muda Katika Soko Hilo Walililazimishwa Kwa Chuki Dhidi Ya Juma Raibu Ambayo Wamesema NinKumchafua Kisiasa’’ Tunashangaa Waliotuambia Tusiende Pasua Ni Viongozi Wa Chama Ccm Na Wakubwa Zetu lakini Nashangaa Toka Tupelekwe wilaya Nyingine Na Hadi Sasa Hawajaja Hata Kutusalimu Au Hata Kutujulia Hali Sasa Tumeamua Kurudi Soko Jipya La Samaki Pasua Kwani Tumegundua Kuwa Chuki Zao Na Meya Ndio Sababu Sisi Kuja Huku Mbali Kuteseka Sasa Hatukubali Tena Kutumika

Pia Waparuaji wa samaki Nao Walisema Hakika Tumechoka Sana Huku Ni Mbali Sana Nauli Ni Zaid Ya 3000 bado Kula Nk. Lakini Pia Aliendelea Kusema Tumekuwa Tukimwaga Samaki Pamoja Na Kuibiwa Samaki Zetu pamoja Na Mafuta Jambo Ambalo Limekuwa Na Hasara Dhidi Yetu Tunataka Kurudi Pasua Na Wiki ijayo Huku Hatuji Kabisa Maana Ni Shida Tu Maana Leo Tuko Zaidi Ya 90 na Tumechangishwa 5000 kila mmoja Na Kutuambia Ni Fedha Za Wakubwa Ili Tubakishwe Pale Na Tutambulike Kiserekali Eneo Hilo.

Nae Mfanyabiashara Mmoja Aliejulikana Kwa Jina La Athuman Akiwa Na Wenzake Walisema Wanafufuraha Sana Kuona Meya Amekuwa Sehemu Ya Maisha Yao Hadi Kuwanunulia Vitendea Kazi Kama Friji , mashine Ya Barafu Pamoja Na Kutuhakikishia Mikopo Isio Na Riba Pamoja Na Ubora Wa Eneo Kama Ulivyo Kwa sasa Alisema.

IMG-20220327-WA0083.jpg
 

Attachments

  • VID-20220327-WA0085.mp4
    10.7 MB
  • VID-20220327-WA0084.mp4
    6.3 MB
Back
Top Bottom