Meya Songoro: Vijana tutoe hoja za utatuzi wa changamoto na kulinda Taifa Kizalendo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amewahimiza vijana kutoa majibu kwa maswali ya kulijenga taifa ili kupeleka mbele maendeleo ya taifa kwakuwa wazalendo wa kweli wanaoipenda na kuitumikia nchi yao.

Mnyonge ametoa rai hiyo wakati wa uzinduzi wa jukwaa la ‘Vijana Platform’ lililoanzishwa ili kuunganisha vijana wote ili waweze kutoa maoni, mapendekezo na kushirikisha changamoto zinazowakabili katika jamii.
 
Yeye mwenyewe ana uzalendo gani????huyo songoro

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…