luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Sasa mayor yy ataki ata izo mall anataka soko kama la pugu , kigogo,sinza pale shekiHawa ma designer sijui wanatumiaga akili gani? Soko linatakiwa liwe kama Mall jamani sio kama ghorofa za apartment
Hahahah sio mbaya ila masoko kuwa ya kisasa ni muhimu! Ila yasiwe ya ghorofa tuSasa mayor yy ataki ata izo mall anataka soko kama la pugu , kigogo,sinza pale sheki
Wao wanataka kujenga gorofa ili wapige helaHawa ma designer sijui wanatumiaga akili gani? Soko linatakiwa liwe kama Mall jamani sio kama ghorofa za apartment
Kama Kisutu daah!!!Hawa ma designer sijui wanatumiaga akili gani? Soko linatakiwa liwe kama Mall jamani sio kama ghorofa za apartment
Soko litakuwaje la gorofa wakati watu wanauza nyanya, soko linatakiwa liwe la kawaida ila lenye miundombinu muhimu kama vyoo na mitaro ya maji taka, wanataka ghorofa kuakuwa na tofauti gan na mallsHahahah sio mbaya ila masoko kuwa ya kisasa ni muhimu! Ila yasiwe ya ghorofa tu
Kisutu sio soko lile waliite mallKama Kisutu daah!!!
Uko sahihi, bado funzo la Machinga Complex halijatuingia.Bado wabongo tunaushamba wa maghorofa, hata kama linaleta hasara.
Sisi watu wa mbagala tumezoea biashara zetu za kusagura-sagura kama kuku wa kienyeji Sasa hiyo style Yao ya kupanda ghorofan Kwaajili ya kununua mihogo itakuwa ngumu SanaHahahah sio mbaya ila masoko kuwa ya kisasa ni muhimu! Ila yasiwe ya ghorofa tu
Hahah Extrovert wafana biashara wananzidi kila kukicha eneo la ardhi haliongezeki ...vertical construction ni nzuri sanaa, ndio maana hata siku izi kuna mabarabara ya juuHahahah sio mbaya ila masoko kuwa ya kisasa ni muhimu! Ila yasiwe ya ghorofa tu
Ivi kwa mfano machinga complex lisinge kuwepo wale wauza ma computer mle ndani si wange zagaa mitaan huo mjinungekuwa ni dampo sasaUko sahihi, bado funzo la Machinga Complex halijatuingia.