YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #41
Kampuni za bongo nyingi magumashi, hawana commitment kwenye kazi. Mara nyingi tumezoea wanaoingia kwnye madaraka wanafungua campuni zao then wanazipa izo tender, sasa ukawa mambo ni tofauti. Em acheni arguments zisizo na umuhimu wacha professionals wapige kazi.
Hizo kampuni mbili hiyo ya UBAPA na UPAUKA zina uhusiano na UKAWA au ni kampuni tanzu za UKAWA?
Angalia zote Zinaonekana kama zimeanzishwa karibuni na matamshi yake kama yana uhusiano na UKAWA hivi hebu angalia ukitaka kutamka mfulululizo UKAWA.UBAPA,UPAUKA!!!! Nasikia kama kuna harufu ya panya aliyekufa mahali!! Hebu mnaozijua hizi kampuni mbili za UBAPA na UPAUKA mwageni vitu hapa .Ni za nani hasa,zilianzishwa lini,zina uzoefu gani nk hadi zipewe tenda za kukusanya ushuru wa maegesho Temeke na Kinondoni