Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Meya anyang’anywa gari, ofisi yafungwa. Adai kuwa yeye bado ni Meya halali

Nakuhakikishia mkuu,mwita anaendelea kuwa MEYA..tatizo hii issue ipo nyuma ya kivuli cha Paul Makonda. Na Makonda kwa sasa hapendwi kabisaa na number 1 lazima atayapiga chini haya maamuzi ili kumuaibisha Makonda!

Subiri mkuu utasikia soon..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
h
HIVI kwa staili hii viwanda vitapatikana kweli? Mwenye ziro na vyeti vya kufoji anaongoza wenye "digrii " kama za brother Mwaki...?????!!!!!!
Tuna safari ndefu sana kufika huko!
 
Zaid ya hapo kama hajajiandaa kisaikojia na maisha ya mtaani mwambieni aje shambani nimpe kipande cha kuanzia maisha.
''Ila maccm ni makatili sana''
 
Kupata ajali ya gari ni matumizi mabaya ya Mali ya Uma?Hivi Kingwangala si alipata ajali na gari ya ofisi?Adam Malima? mbona hatukusikia kelele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii movie yote Baba Kegani ndio Director na mtungaji story, maana jamaa ni hasidi ile mbaya
 
Alafu utakutana na mtu anakwambia serikali inafanya la maana.
Watanzania tungekuwa kama wakenye hatuna woga wa kufurusha viongozi wa ajabu ajabu tungekuwa zaidi ya Nigeria
Afadhali wewe umeliona tatizo. Tutawalaumu bure kwa matendo yao lakini wanafanya yote kwa kuwajua watanzania ni watu wa aina gani, mwisho wa siku sisi wote tunatakiwa kujichunguza.
 
Ccm buana, akili zao na wanachokitafuta wanajua wenyewe, ya ngoswe tumuachie ngoswe.
 
Namshauri Mwita akafungue ofisi ya umeya nyumbani kwake,tabu yote ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…