The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Chawa chawanian chawaismMstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao
Duh,Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao
Mkuu, kwani Kyela ndiko kwake?Aende Kyela wampe.
Kwani kwake ni wapi?Mkuu, kwani Kyela ndiko kwake?
Bilabrushwa Tulia hakubaliki kabisa MbeyaMstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao
Kama kweli anaamini akigombea jimbo lolote atashinda, basi afanye hivyo.Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao
RubbishMstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao
Huyo atakuwa na laana au ni punguani.Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao
Umkatae Tulia umchague poyoyo gani tena?Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao