Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Majangili ya mali za umma yanapongezana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza unga wanamtaka TuliaHuyo atakuwa na laana au ni punguani.
Ni lini alifanya utafiti akagundua kuwa watanzania wote wanamtaka msaliti Tulia awe mbunge wao?? Uchawa kweli humwondolea mtu akili, hata kama alikuwa nazo kudogo!!
Baadhi yetu hatumtaki kabisa huyo msaliti Tulia kuwa hata kiongozi wa Serikali ya mtaa. Mtu mnafiki na mwongo kama Tulia, nani mwenye akili amtake kuwa mwakilishi wake?
Huyu ndiye alisema kuwa hakuna watu wanaotekwa.
Huyu ndiye miongoni mwa wahusika wakuu kwenye mradi wa kuwagawia DPW bandari zetu zote na kuidhinisha mkataba wa kishenzi kabisa ambao haujawahi kwepo mahali popote Duniani.
WanaMbeya mtakuwa mmefanya jambo la maana sana mkituongolea huyo msaliti wa nchi yetu. Kama anataka ubunge, akagombee Zanzibar maana huko atawaeleza jinsi alivyoshiriki kuzilinda bandari za Zanzibar zisiingie kwenye mkataba wa kitumwa kama ule wa Tanganyika na DPW.
Wanambeya muda wausingizi umeisha,nimuda wa kuwa macho hakuna kupitwa na chochote,kumbuka kila jema,ila usisahau baya,kwani maisha yanamapito mengi,ila kumbuka mapito ni mengi zaidi au neema imetawala zaidi.Kisha usiache kujiuliza kwanini yote hayo?Je nini chanzo na sababu,hata dunia imeonekana kutuchoka.Acha kulala AmmkaaaMstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao
Ni kweli, aletwe Arusha atapata zaidi ya 95% Rais wa mabunge duniani haiwezekani ashindwe ubunge wa jimbo. Dunia itawaona wapiga kura nyumbu si binadamu wenye akili zao.Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao
Tulia ni takataka tu ililetwa na Magufuli mwaka 2020 wala hatukumpigia kura.Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
View attachment 3219653kikao
Tulia mwenyewe ni poyoyoUmkatae Tulia umchague poyoyo gani tena?
Hafai hata kulumangia. Wenzake walikotokea maspika wa bunge, maendeleo yalikimbizwa sana. Mbeya hata kiwanja cha kisasa cha michezo hatuna.Ni kweli, aletwe Arusha atapata zaidi ya 95% Rais wa mabunge duniani haiwezekani ashindwe ubunge wa jimbo. Dunia itawaona wapiga kura nyumbu si binadamu wenye akili zao.
Na barabara za katikati ya jiji hali mbaya mashimo kama yoote, Huduma za afya mbovu, stendi ya mabasi iliyochokaa kama spare tairiYaani serious anatuletea matamasha ya ngoma na akina Zuchu