chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nadhani Meya ajitathmini kama ana uwezo wa kuisimamia halmashauri ya Jiji kama madudu yote yanafanyika mbele ya macho yake.
Inafikia mpaka Rais, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mawaziri wanaingilia kati.
Meya ni kama Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, kwa maana ni kiongozi wa madiwani. Ameshindwa kumsimamia Mkurugenzi, ameshindwa kusimamia Halmashauri. Ni vyema Sasa ajitathmini au chama kimtathmini kama anatosha.