Siyo ajithamini,mpigeni chiniNadhani Meya ajitathmini kama ana uwezo wa kuisimamia halmashauri ya Jiji kama madudu yote yanafanyika mbele ya macho yake.
Inafikia mpaka Rais, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mawaziri wanaingioia kati.
Meya ni kama Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi, kwa maana ni kiongozi wa madiwani. Ameshindwa kumsimamia Mkurugenzi, ameshindwa kusimamia Halmashauri. Ni vyema Sasa ajitathmini au chama kimtathmini kama anatosha
Kafe nazo, mburu kengeHapa shobo haupungui, nina kiwanda Cha shobo
Aaa sorry kumbe ni Meya hapa anazungumziwaAmetenguliwa Mkurugenzi
Kwenye hii nchi ya wajinga akigombea mbona atapata kura nyingi tu😏Meya yule kiazi anataka kugombea ubunge na yeye 2025