Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Mwamba ulikuwa unajua ila ukamute kwakutoa code TU
 
😂😂😂😂mkuu sio kwa povu hili...usidharau mwandishi mwenzio..waswahili twasema usilolijua ni kama usiku wa Jua...kule shambani kwake moro unajua yaliokuwa yanajiri....😎😎😎
 
Mama Rwalatare alipata mali kwa nia ya kupreempty waumini wake na makafarayamehusika sana, hizo mali zitaitesa hii familia mpaka basi
Karma on move, bado majumba, shule wanagombania yote yataisha tu maana watoto wake akili zero kabisa 💯.
 
Umetisherrrr
 
usidharau mwandishi mwenzio..waswahili twasema usilolijua ni kama usiku wa Jua...kule shambani kwake moro unajua yaliokuwa yanajiri....😎😎😎
Dharau ziko wapi hapo Mkuu hiyo ndo fact yenyewe!!....km kuna yaliyo tokea shambani!! huko ni shambani!! kwani mtu wa Mungu hawezi jaribiwa?? walijaribiwa sana , wanajaribiwa na wata jaribiwa ...

Matisho mliyo yaona shambani kwake ni kwa sababu ya Mashetani yenu mliyobeba ndo yalikuwa yanawaonyesha mauza uza ili msiokoke!.....hii ilikuwepo hata kwa Yesu !! Baadhi ya watu wa kawaida na Mafarisyo wengi walimdhania Yesu ni Mchawi!...

Mpaka leo hii napoongea na weye kuna watu wengi hawa muamini Yesu, sembuse mama Rwakataere?. wengine wanasema alikuwa mwizi wa mbao!! kwa hilo halina ubishi!!..........

Pia kule shambani kwa Mama Rwakatale Lushoto niliwahi fika nikamuona yeye binafsi yuko juu ya fisi kabisaaa!! lkn kwa kuwa nilijaa upako nikakemea hapo hapo nikafunguliwa Meeengi usiyoyajua!!!

km weye mchawi ni Lazima umuone Mchungaji mkubwa sana kuwa ni mchawi pia km weye!!.......ndo maana wachawi wanazidisha mapambano na watu halisi wa Mungu ....sasa km wewe unanitisha na uliyo yaona shambani kwake!!

Nasema hapa huniwezi njoo kivingine! mauza uza hayo ya kuwa ona wachungaji ktk anga za kichawi ni mengi mnooo Duniani!!..mie nilikuwa mchwi fika pia ndo maana nakwambia ivo! ukibisha muulize Mshana Jr!, Nyarusare! Eclat au muheshimiwa yule wa kigoma!

Kifupi tuko weeengi humu lkn kwa majina tofauti tofauti ...Mfano wapili Baayesu alimwambia mtume Paul ampe uwezo wa kichawi aliokuwa nao Mtume Paul!!.....hapo nakuonyesha tu kwamba hata mitume walio tembea na Yesu wachawi waliwaona wachawi!!

......sasa lete incidence uliyo iona ufunguliwe hapo shambani kwake hapa ili nikupe maelezo ya ulichokiona na jinsi ya kufanya uone maajabu vinginevyo kinyume na hapo weye bado una majungu ya kitoto!
 
Diwani mlevi anakula pesa za urithi meya wake anaona wivu,amuache ale maisha
 
Daah , mwendazake Mungu anamuona jinsi alivyotuletea viongozi Wa mchongo Nchi hi!!
 
Nilidhani unajua..eti shamba lushoto😂😂😂.......muda utaongea..na itajulikana msingi wa madhabahu unayoiamini ni Jehova au yule aliekuwa Shambani....kweli Paulo alisena..akili zao zimetiwa giza.....ndo wewe siku ukipata neema ya kuona kweli..utaamka na kujilaumu. Sibishani na vipofu!
 
Kumbeee! unabishana??? sikia sasa mie! Nakuelimisha jinsi ya kufikiri....sibishani na weye! kaanze soma tena upya drsani !..ujue maana ya hoja tunduizi!...siyo unaropoka tuu hovyo!...mapepo yako hayo yatakusumbua sana..tubu!
 
itajulikana msingi wa madhabahu unayoiamini ni Jehova
wey muongo kamwe huwezi changanya Nuru na Giza!! lazima kimoja kiondoke tu!! havitangamani ndo maana nasema hujasoma shule ikakuingia barabara, ulibabaisha tu!! kwa kuibia mitihani! mnajulikana kirahisi mnooo!

Alipo sema ''huwezi kuwatumikia Mabwana wawili'' alikuwa hata nii!! kizazi cha nyoka hamuelewi !! .....sasa weye hii yako ina maana kuwa mchungajio Rwakatale alitumikia Mabwana wawili miaka yote hiyo ya utumishi wake na akawa salama/tajiri???

acha utani bana au naongea na mlevi......
 
A.M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…