Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 May 27, 2025 #1 Meya wa Manispaa ya Temeke Abdallah Mtinika amesema Rais Samia amefanya kazi nzuri kwenye kiwango cha kustahili alama “A+” katika kipindi cha uongozi wake. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Meya wa Manispaa ya Temeke Abdallah Mtinika amesema Rais Samia amefanya kazi nzuri kwenye kiwango cha kustahili alama “A+” katika kipindi cha uongozi wake. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 May 27, 2025 #2 Unaambiwa huyo jamaa ni mshirikina balaa, soko la Zhakhiem kapangangisha jamaa zake tu, kila aliyepiga kelele kalogwa!
Unaambiwa huyo jamaa ni mshirikina balaa, soko la Zhakhiem kapangangisha jamaa zake tu, kila aliyepiga kelele kalogwa!
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 May 27, 2025 #3 Akili ikishashuka tu tumboni, utacheua kila aina ya uchafu mwilini.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 May 27, 2025 #4 Tate Mkuu said: Akili ikishashuka tu tumboni, utacheua kila aina ya uchafu mwilini. Click to expand... huyo ni darasa la 7 ila ni mtaalam wa mizizi
Tate Mkuu said: Akili ikishashuka tu tumboni, utacheua kila aina ya uchafu mwilini. Click to expand... huyo ni darasa la 7 ila ni mtaalam wa mizizi
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 May 27, 2025 #5 Kichwa chake na ongea yake vinaonesha kuwa huyu Mtinika anaumwa usonji
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 May 27, 2025 #6 A+kwa kutenda haya. View: https://youtu.be/eXlLAdLoZf0?si=aOkdfBt40HuiKNuT