Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Yawezekana anamwabudu Mbowe na kusahau kuwa anawajibika kwa viongozi wa kata yakeKama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?
Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutenguea maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
Nyie kila kitu ili mlipwe ni lazima mumtaje Mbowe? Anawajibika kwa kata kwenye kila jambo hata la kipuuzi? Hivi kanuni zoote zimefuatwa kwenye kumfukuza huo uanachama?Yawezekana anamwabudu Mbowe na kusahau kuwa anawajibika kwa viongozi wa kata yake
Kwa nini kufukuzana kwenu msingizie sisiemu?Kama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?
Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
Kusoma hujui hata picha pia huoniKwa nini kufukuzana kwenu msingizie sisiemu?
Huna akili.Kama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?
Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
Kati ya CHADEMA na CCM ni chama gani kitafaidika kwa Boniface kufukuzwa uanachama wa CHADEMA?Huna akili.
Ccm wanaweza kumfukuza Boniface Jacob Chadema??
Kwa hiyo chadema wanamfukuza Boniface Jacob ili ccm ifaidike?Kati ya CHADEMA na CCM ni chama gani kitafaidika kwa Boniface kufukuzwa uanachama wa CHADEMA?
Kama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?
Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
Umeona nimeuliza maswali mawili ya msingi?Kwa hiyo chadema wanamfukuza Boniface Jacob ili ccm ifaidike?