Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Kuna barua zinasambaa zikidai Mayor Jacob amefukuzwa uanachama CHADEMA na hivyo kuvuliwa umeya.

JamiiForums imemtafuta Meya Jacob ambaye amesema barua ya kufukuzwa kwake imechongwa na hata Katibu anayedaiwa kuandika barua ya kufukuzwa kwake hajaandika barua hiyo.

Ameshangaa kuona barua Mkurugenzi ikifanya marejeo ya barua ambayo haijatoka ndani ya chama chake (CHADEMA).

=======

Video ya kanusho na barua zilizosambaa:

Screenshot_20200502-183704_Chrome.jpg
Screenshot_20200502-183650_Chrome.jpg
D425DFEE-7B96-49ED-BC37-C5E60D7BF294.jpeg

F02F4707-C1D0-4DC3-904B-B8D7798DC82D.jpeg
 
Kama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?

Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
 
Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutenguea maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
Yawezekana anamwabudu Mbowe na kusahau kuwa anawajibika kwa viongozi wa kata yake
 
Kama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?

Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
Kwa nini kufukuzana kwenu msingizie sisiemu?
 
Kama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?

Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
Huna akili.

Ccm wanaweza kumfukuza Boniface Jacob Chadema??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?

Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?

Ni mapema mno kuilaumu CCM. Subir neno la mwenyekiti kwanza.
 
Sidhani kama CHADEMA wamekaa hicho kikao na kuazimia hayo maamuzi ya kumtema Meya, hapo inaonekana kuna viongozi wachache wamenunuliwa na kuandaa hiyo barua ya kumvua meya Uanachama na Umeya.

siasa za kipumbavu sana hizi
 
Back
Top Bottom