Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Tunaacha kupambana na janga la corona tunahangaika na vyeo ambavyo ni vya muda tuu. Hivi hamuoni wenye vyeo na wasio navyo wanavyo anguka jamani
 
Tunaacha kupambana na janga la corona tunahangaika na vyeo ambavyo ni vya muda tuu. Hivi hamuoni wenye vyeo na wasio navyo wanavyo anguka jamani
 
Hahaha .........maccm mazwazwa sn km mkuu wao.......
WANAHOFIA NN HASA? UMEONA SASA YAMEANZA KUUMBUKA MAMBWA HAYA
 
Achana nao mbwa hawa wanawaza posho hungeni na buku 7 lumumba. Sijawahi kuona mwanaccm natetea mtz wote wanatetea serikali na vyeo vyao
 
inasikitisha sana! yote ni kwa sababu tumekuwa wavivu mno wa kuchukua hatua! sisi letu ni domo tu na ndio maana wanajiamini mno kufanya matendo kama haya!
 
Kwa unene ule kweli mwaka huu anaweza kupiga "Push Up"
Yaani jamaa kawekeza kwenye kunenepa tu,

Pale hata stendi ya ubungo kashindwa kuikarabati, mvua ikinyesha maji yanajaa mule, kuchafu balaa.
 
Madaraka ni matamu aisee, jamaa wananenepa tu, ila wananchi hali inabakia vile vile.
Hahahaha ndio maana wameamua kufia bungeni wasikose Posho!
 

Attachments

  • IMG-20200502-WA0002.jpg
    14.7 KB · Views: 1
  • IMG-20200501-WA0086.jpg
    145 KB · Views: 1
  • IMG-20200501-WA0087.jpg
    98.6 KB · Views: 1
Duh siasa za nchi hii ngumu sana hasa kwa kipind hiki kama taifa na wanasiasa hasa wa upinzan wanapitia majarib sana

Its not over until its over...[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…