Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha yote yanawezekana, sema Niko Mbeya, ningekua Dar keshokutwa ningeenda ofisini kwake
Madaraka ni matamu aisee, jamaa wananenepa tu, ila wananchi hali inabakia vile vile.Na wewe kaongee na wapuuzi wenzako mliojitekenya na kucheka wenyewe.
Kwa unene ule kweli mwaka huu anaweza kupiga "Push Up"?Madaraka ni matamu aisee, jamaa wananenepa tu, ila wananchi hali inabakia vile vile.
Nilikuwa najiuliza huwa wanatumia utaratibu gani kujiridhisha kama wanafanyia kazi maamuzi halali. Maana kutengeneza barua sio kazi ngumuMkurugenzi hana utulivu kabisa
Hayo maswali unayojiuliza huwa wanaweza kujiuliza watu waadilifu peke yake!! Watu wa Hiyana hawako ivo!!Nilikuwa najiuliza huwa wanatumia utaratibu gani kujiridhisha kama wanafanyia kazi maamuzi halali. Maana kutengeneza barua sio kazi ngumu
inasikitisha sana! yote ni kwa sababu tumekuwa wavivu mno wa kuchukua hatua! sisi letu ni domo tu na ndio maana wanajiamini mno kufanya matendo kama haya!Kuna barua zinasambaa zikidai Mayor Jacob amefukuzwa uanachama CHADEMA na hivyo kuvuliwa umeya.
JamiiForums imemtafuta Meya Jacob ambaye amesema barua ya kufukuzwa kwake imechongwa na hata Katibu anayedaiwa kuandika barua ya kufukuzwa kwake hajaandika barua hiyo.
Ameshangaa kuona barua Mkurugenzi ikifanya marejeo ya barua ambayo haijatoka ndani ya chama chake (CHADEMA).
View attachment 1437931
View attachment 1437937
=======
Barua zinazosambaa ni hizi:
View attachment 1437817
View attachment 1437818
Yaani jamaa kawekeza kwenye kunenepa tu,Kwa unene ule kweli mwaka huu anaweza kupiga "Push Up"
Hahahaha ndio maana wameamua kufia bungeni wasikose Posho!Madaraka ni matamu aisee, jamaa wananenepa tu, ila wananchi hali inabakia vile vile.
Sure uko sahihi kabisaAchana nao mbwa hawa wanawaza posho hungeni na buku 7 lumumba. Sijawahi kuona mwanaccm natetea mtz wote wanatetea serikali na vyeo vyao
Hayo maswali unayojiuliza huwa wanaweza kujiuliza watu waadilifu peke yake!! Watu wa Hiyana hawako ivo!!
Ili ujue madaraka matamu, jamaa katishiwa tu kuondolewa kapost video usiku usiku, hata hapajakucha.Hahahaha ndio maana wameamua kufia bungeni wasikose Posho!
Duh siasa za nchi hii ngumu sana hasa kwa kipind hiki kama taifa na wanasiasa hasa wa upinzan wanapitia majarib sanaKama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?
Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?