Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

5.4.3 Kuachishwa ama kufukuzwa na tawi lake ama ngazi nyingine ya Chama, kwa mujibu wa Katiba kwa kukosa sifa za kuendelea kuwa mwanachama ama kuwa na mwenendo usioendana na Itikadi, Falsafa, Madhumuni, Kanuni, Maadili na Sera za Chama. Mwanachama atakuwa na haki ya kukata rufaa kwa ngazi ya juu kama hakuridhika na adhabu hiyo.

Hii ndiyo Ibara ya kufukuza mwanachama uanachama. Hao hiyo Ibara ya 10.1 (x) wameitoa kwenye katiba ipi na inasemaje?
 
Nimejaribu kutafuta kwenye Katiba ya CHADEMA hivyo vifungu sijaviona. Au Katiba gani ya CHADEMA imetumika?
 
Mkiendelea kukata huku na huku October is on the door!
 
Umeona nimeuliza maswali mawili ya msingi?

1 Tataribu zote zimefuatwa kwenye kumfukuza Boniface?

2. Uharaka wa kupeleka hiyo barua kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo unatokana na nini?
Usishangae ndugu yangu, baadhi ya Watanzania akili zao ziko kwenye lockdown!
 
Nawe unakuwa kama boya! Hapo CCM wanahusika wapi. Jadili upuuzi wa kiuongozi ndani ya CHADEMA. Ndo tatizo la kuwa na kiongozi wa kitaifa anayejifaragua sana bila kupima matokeo ya vurugu hizo. Kinachofuata ni kila aliye na nafasi kumkoromea mwenzake.
 
NAwe unakuwa kama boya! HApo CCM wanahusika wapi. JAdili upuuzi wa kiuongozi ndani ya CHADEMA. Ndo tatizo la kuwa na kiongozi wa kitaifa anayejifaragua sana bila kupima matokeo ya vurugu hizo. Kinachofuata ni kila aliye na nafasi kumkoromea mwenzake.
Ana weweseka muache [emoji1787][emoji23][emoji2960]
 
Anakiburi sana Jacob acha afukuzwe tu. Aende akaendelee kuwa mlinzi wa Mbowe!
 
Hiyo barua ina makosa mengi sana ya kisheria. Mojawapo ni kutaja ibara ambayo haimo kwenye Katiba ya CHADEMA. Ibara za Katiba ya CHADEMA zimeishia Ibara ya 9.7 ambayo imo kwenye sura ya Tisa ya Katiba!!

Katiba ya CHADEMA haina Ibara kumi.
 
Umeona nimeuliza maswali mawili ya msingi?

1 Tataribu zote zimefuatwa kwenye kumfukuza Boniface?

2. Uharaka wa kupeleka hiyo barua kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo unatokana na nini?
Sasa kama anaitwa hataki hata kupeleka utetezi hataki? Unategemea wafanyeje uongozi wa Kata? Yeye anamheshimu Mbowe hajui kuwa uanachama wake uko mikononi mwa kata? Sasa atakula mavi yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…