kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wanapima maji kesho wakiamka watakanusha ni vilevi ndio vinawasumbua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati tendaji ya Kata inayo mamlaka ya kumvua uanachama Mwanachama?Sasa kama anaitwa hataki hata kupeleka utetezi hataki? Unategemea wafanyeje uongozi wa Kata?
[emoji1787][emoji23][emoji2960] atakula mavi yakeSasa kama anaitwa hataki hata kupeleka utetezi hataki? Unategemea wafanyeje uongozi wa Kata? Yeye anamheshimu Mbowe hajui kuwa uanachama wake uko mikononi mwa kata? Sasa atakula mavi yake!
Kama tunajuana wenyewe nini kimekukuta cha kuchangia mambo yasiyokuhusu?Mtajuana wenyewe ...
Mkuu taratibu watu wanaweweseka wewe unazidi kuwachanganya [emoji1787][emoji23]Mtajuana wenyewe mwambie hana kinua mgongo tena kapigwa ya kichwa!
No need! Kakate rufaa! Sisi tuko busy huku Mitanni kuwasaidia wahitaji kipindi hiki kigumu.Katiba ya CHADEMA hiyo hapo someni!!
Sasa unatakiwa uwaulize hao wenzako kulikoni!5.4.3 Kuachishwa ama kufukuzwa na tawi lake ama ngazi nyingine ya Chama, kwa mujibu wa Katiba kwa kukosa sifa za kuendelea kuwa mwanachama ama kuwa na mwenendo usioendana na Itikadi, Falsafa, Madhumuni, Kanuni, Maadili na Sera za Chama. Mwanachama atakuwa na haki ya kukata rufaa kwa ngazi ya juu kama hakuridhika na adhabu hiyo.
Hii ndiyo Ibara ya kufukuza mwanachama uanachama. Hao hiyo Ibara ya 10.1 (x) wameitoa kwenye katiba ipi na inasemaje?
Waulize waliomfukuza...Nimejaribu kutafuta kwenye Katiba ya CHADEMA hivyo vifungu sijaviona. Au Katiba gani ya CHADEMA imetumika?
Inawezekana isiwe ni wenzetu ikawa ni wenzenu!Sasa unatakiwa uwaulize hao wenzako kulikoni!
Ni ujinga wa hali ya juu mfukuzane nyie mseme ni mwingine.Inawezekana isiwe ni wenzetu ikawa ni wenzenu! Hata hivyo vifungu vya kanuni walivyonukuu viko "Vague" sana kiasi kwamba haieleweki walinukuu toka wapi.
Tatizo ni Mkurugenzi na sio hao vilaza wa huko Ubungo!!
Hapo umenena vema. Kumbe ni kivuli na si kitu halisi!!hata kivuli chenu mnakiita sisiemu!
I am not responsible for your intepretation...Hapo umenena vema. Kumbe ni kivuli na si kitu halisi!!
Andika kwa Kiswahili ndiyo tutaelewana vizuri!!I am not responsible for your intepretation...
Mnakimbia kivuli chenu wenyewe...