barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Utatafuta sababu zote, ila ukweli ni jamaa kafutwa uanachama na wana chadema wenyewe...Hivi leo kisheria ni siku ya kazi!?
Kuna mahali nimesema "Hajafukuzwa"?Utatafuta sababu zote, ila ukweli ni jamaa kafutwa uanachama na wana chadema wenyewe...
Nyie kila kitu ili mlipwe ni lazima mumtaje Mbowe? Anawajibika kwa kata kwenye kila jambo hata la kipuuzi? Hivi kanuni zoote zimefuatwa kwenye kumfukuza huo uanachama?
Kati ya CHADEMA na CCM ni chama gani kitafaidika kwa Boniface kufukuzwa uanachama wa CHADEMA?
Sasa usitafute sababu za kusema kuwa fukuzo sio legitimate!Kuna mahali nimesema "Hajafukuzwa"?
Nimetafutaje sababu? Maana mimi siyo niliyeandika barua. Hapa nauliza tu maswali. CHADEMA ni Katiba, sasa kama Katiba inayoifanya CHADEMA iwe CHADEMA haikufuatwa inakuwaje yawe ni Maamuzi ya CHADEMA?Sasa usitafute sababu za kusema kuwa fukuzo sio legitimate!
Kuliko hata upumbavu wenyewe
Aliyeuliza kama leo ni siku ya kazi au laa ni nani?Nimetafutaje sababu? Maana mimi siyo niliyeandika barua. Hapa nauliza tu maswali. CHADEMA ni Katiba, sasa kama Katiba inayoifanya CHADEMA iwe CHADEMA haikufuatwa inakuwaje yawe ni Maamuzi ya CHADEMA?
Kuna wanachama wa sisiemu ktk hicho kikao?
Hilo swali linahusiana na CHADEMA?Aliyeuliza kama leo ni siku ya kazi au laa ni nani?
Aliyeuliza kama leo ni siku ya kazi au laa ni nani?Hilo swali linahusiana na CHADEMA?
Linahusiana na CHADEMA?Aliyeuliza kama leo ni siku ya kazi au laa ni nani?
Jamaa una roho mbaya sana. Sijui unaabudu Wapi kwa kweli. Yaani unavyofurahia, duh!Hahaaa na bado..... Allen mtaisoma habari Kamili end of 2020, mlimpa laana zisizo na sababu! Matokeo yake zimewarudia ninyi. Kila aliyefungua kinywa kwa ubaya amehaibika.....
I am enjoying the game! Kwisha habari Yenu!
Kinachozunguuka akilini mwangu ni hiki. Huwnda chama tawala kinakitu huwa wanafanya katika nafasi hizo Kipindi cha kukaribia uchaguzi au hii ni mbinu Mpya ya CCM ya sasa. Maana hila vitimbi za kuwaondoa mameya imekuwa kubwa na ya kutia aibu.Mbona aliahidi hatogombea, kwanini wasingemvumilia tu mpk juni 30?. Au ni mkakati wa kuunga juhudi kwa kuondoka kwa gia hii.
bora ingeletwa na member tu,imeleta na uongoziHiyo barua ina makosa mengi sana ya kisheria. Mojawapo ni kutaja ibara ambayo haimo kwenye Katiba ya CHADEMA. Ibara za Katiba ya CHADEMA zimeishia Ibara ya 9.7 ambayo imo kwenye sura ya Tisa ya Katiba!!
Katiba ya CHADEMA haina Ibara kumi.
Meya ni wa chadema kafukuzwa na chadema barua imeandikwa na viongozi wa chadema unaposema ni hila za CCM napata ukakasi na fikra zako kama unawaza kwa kutumia kichwaKinachozunguuka akilini mwangu ni hiki. Huwnda chama tawala kinakitu huwa wanafanya katika nafasi hizo Kipindi cha kukaribia uchaguzi au hii ni mbinu Mpya ya CCM ya sasa. Maana hila vitimbi za kuwaondoa mameya imekuwa kubwa na ya kutia aibu.
Tutaona mengi mwaka huu. Naomba Mungu wapinzani waendelee kuwa wavumilivu tufike salama.
Kwani mimi Mbowe ananisaidia nini? Labda wewe naona huwa unaenda kupata viruzuku kidogo. Mimi hana maana kwangu hata chembe!Kamati tendaji ya Kata inayo mamlaka ya kumvua uanachama Mwanachama?
Inaonesha wewe una jambo binafsi na Mbowe maana kila baada ya sentensi moja unamtaja Mbowe!!
Umemtaja tena!!Kwani mimi Mbowe ananisaidia nini?