Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Sidhani kama CHADEMA wamekaa hicho kikao na kuazimia hayo maamuzi ya kumtema Meya, hapo inaonekana kuna viongozi wachache wamenunuliwa na kuandaa hiyo barua ya kumvua meya Uanachama na Umeya.


siasa za kipumbavu sana hizi
Wameshindwa kupambana na corona wanapambana na chadema?? Wapumbavu sana hawa.
 
"Kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kwenye Bunge la 11, ......!"
Umewahi kusikia NCCR-Mageuzi au CUF vikiitwa hivyo? Kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala siyo sifa ya kudumu kwa ivo haiwezi kufanyiwa rejea!!
 
Mods acheni mambo yenu. Mjumbe wa kamati kuu ya chama kuvuliwa uanachama na wajumbe wa kata mnaleta breaking news? Hamuoni kuwa hizo ni njama za maccm na nyie mnaingia mkenge! Emb ondoeni huu utopolo humu.
Tunayo haki ya kupewa taarifa kwa mujibu wa katiba ya JMT hivyo usiwasumbue mods.
 
Hao wajinga wa Ubungo watakuwa wameungana na CCM kumfukuza uanachama Jacob, ndio maana na hiyo ofisi ya kindezi ime- respond fast kumvua Umeya, but all in all, IF THIS IS ALL TRUE, naamini kuna kukata rufaa kwenye ngazi za juu za chama, hakuna shida yoyote.

Hao wajinga watakuwa wanajidanganya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi huu hapa, Jacob ni Mayor, hao wendawazimu waliofoji waambieni waendelee kujitekeñya na kujichekesha. Waambie wapigane na Corona, mmeishindwa corona ndio mtaiweza Chadema? Poor you

kama huna bundle kakope usiulize nikupe summary. Mmenikera sana kwa kuhamisha attention! Nataka TCRA wafuatilie wajue huu ushenzi nani aliuanzisha.



Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Atakuwa anaenda NCCR mageuzi
 
Sasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
 
Na anatakiwa akapambanie huo udiwani na umeya mahakamani sio mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…