kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Boni atawatia dole matakon, chezeni na kitu ingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kwenye Bunge la 11, ......!"Kwa mfano!!
Wameshindwa kupambana na corona wanapambana na chadema?? Wapumbavu sana hawa.Sidhani kama CHADEMA wamekaa hicho kikao na kuazimia hayo maamuzi ya kumtema Meya, hapo inaonekana kuna viongozi wachache wamenunuliwa na kuandaa hiyo barua ya kumvua meya Uanachama na Umeya.
siasa za kipumbavu sana hizi
Umewahi kusikia NCCR-Mageuzi au CUF vikiitwa hivyo? Kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala siyo sifa ya kudumu kwa ivo haiwezi kufanyiwa rejea!!"Kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kwenye Bunge la 11, ......!"
Kumbe unalijua hilo?Umewahi kusikia NCCR-Mageuzi au CUF vikiitwa hivyo? Kuwa chama kikuu cha upinzani au chama tawala siyo sifa ya kudumu kwa ivo haiwezi kufanyiwa rejea!!
Tunayo haki ya kupewa taarifa kwa mujibu wa katiba ya JMT hivyo usiwasumbue mods.Mods acheni mambo yenu. Mjumbe wa kamati kuu ya chama kuvuliwa uanachama na wajumbe wa kata mnaleta breaking news? Hamuoni kuwa hizo ni njama za maccm na nyie mnaingia mkenge! Emb ondoeni huu utopolo humu.
Atakuwa anaenda NCCR mageuziHao wajinga wa Ubungo watakuwa wameungana na CCM kumfukuza uanachama Jacob, ndio maana na hiyo ofisi ya kindezi ime- respond fast kumvua Umeya, but all in all, IF THIS IS ALL TRUE, naamini kuna kukata rufaa kwenye ngazi za juu za chama, hakuna shida yoyote.
Hao wajinga watakuwa wanajidanganya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app