Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ulitaka akomenti yule mpuuzi aliyeandika huo ujinga? Yeah nimepaniki, ni sehemu ya kuwa binadamu piaUmepanik mkuu, maana unakoment kwenye uzi wako mwenyewe
Ona hii CoronaNa anatakiwa akapambanie huo udiwani na umeya mahakamani sio mitandaoni
Unataka asikomenti kwa kuwa ni uzi wake!?Umepanik mkuu, maana unakoment kwenye uzi wako mwenyewe
Wanajaribu kukwepesha matat matatizo ya msingiMataga wanatafuta huruma ya wananchi kilichobaki nikufa na corona na wabunge wao.
Hiyo wenyewe kwa wenyewe hakuna wa kumlaumu bwasheeWameshindwa kupambana na corona wanapambana na chadema?? Wapumbavu sana hawa.
Wapuuzi sana hawa jamaa.yaani mbogamboga ndio ishu zao walizobaki nazo, ni uongo tu basi
Mbona hueleweki?Ushahidi huu hapa, Jacob ni Mayor, hao wendawazimu waliofoji waambieni waendelee kujitekeñya na kujichekesha. Waambie wapigane na Corona, mmeishindwa corona ndio mtaiweza Chadema? Poor you
kama huna bundle kakope usiulize nikupe summary. Mmenikera sana kwa kuhamisha attention! Nataka TCRA wafuatilie wajue huu ushenzi nani aliuanzisha.
Nimekustahi, ukirudia tena tutakutanaSasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
Kwakua huna uelewaMbona hueleweki?
Mtaelewana tu tuliza ballOna hii Corona
Wewe unaamini karatasi badala ya binadamu mwenzio mwenye pumzi ya Uhai? Asheri Mlangwa mwenyewe ndiye anakanusha kuandika hiyo barua.Sasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
Hahahaha nimeandika nikafuta! Ukute nabishana na mtu ambaye hata video wenyewe haja download hana bundleMtaelewana tu tuliza ball
Achana nao hao mbwa! Wanataka kutuhamisha kwenye issue za msingiWewe unaamini karatasi badala ya binadamu mwenzio mwenye pumzi ya Uhai? Asheri Mlangwa mwenyewe ndiye anakanusha kuandika hiyo barua.
Kama Boniface ni "violent" unataka kusema ndiyo ihalalishwe kusemewa uongo?
Ona hii kitu akili yake ilipoishia, mko too criminal, ni stress au? Jipangane na lichama lenu LA ovyoooNimekustahi, ukirudia tena tutakutana
Mleta mada hana tofauti na mtu anayeongea peke yake bara barani.Unataka asikomenti kwa kuwa ni uzi wake!?
Una tatizo la akili (Bipolar disorder)Sasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
Hahahahaah kakope bundle uje usikilize na kutizama video, I don't argue with fools, kwanza una bahati sana hata nimejibu huu ujinga wako!Ona hii kitu akili yake ilipoishia, mko too criminal, ni stress au? Jipangane na lichama lenu LA ovyooo
Ile Barua imetengenezwa na Kubenea.
Video zenyewe umerekodia kicm gani sijui halafu unataka eti uconclude! Mko shallow minded sanaHahahaha nimeandika nikafuta! Ukute nabishana na mtu ambaye hata video wenyewe haja download hana bundle