Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Ushahidi huu hapa, Jacob ni Mayor, hao wendawazimu waliofoji waambieni waendelee kujitekeñya na kujichekesha. Waambie wapigane na Corona, mmeishindwa corona ndio mtaiweza Chadema? Poor you

kama huna bundle kakope usiulize nikupe summary. Mmenikera sana kwa kuhamisha attention! Nataka TCRA wafuatilie wajue huu ushenzi nani aliuanzisha.
Mbona hueleweki?
 
Sasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
Nimekustahi, ukirudia tena tutakutana
 
Sasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
Wewe unaamini karatasi badala ya binadamu mwenzio mwenye pumzi ya Uhai? Asheri Mlangwa mwenyewe ndiye anakanusha kuandika hiyo barua.

Kama Boniface ni "violent" unataka kusema ndiyo ihalalishwe kusemewa uongo?
 
Achana nao hao mbwa! Wanataka kutuhamisha kwenye issue za msingi
 
Sasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
Una tatizo la akili (Bipolar disorder)
 
Ona hii kitu akili yake ilipoishia, mko too criminal, ni stress au? Jipangane na lichama lenu LA ovyooo
Hahahahaah kakope bundle uje usikilize na kutizama video, I don't argue with fools, kwanza una bahati sana hata nimejibu huu ujinga wako!
 
Hahahaha nimeandika nikafuta! Ukute nabishana na mtu ambaye hata video wenyewe haja download hana bundle
Video zenyewe umerekodia kicm gani sijui halafu unataka eti uconclude! Mko shallow minded sana
 
Back
Top Bottom