Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Na wewe kaongee na wapuuzi wenzako mliojitekenya na kucheka wenyewe.Mleta mada hana tofauti na mtu anayeongea peke yake bara barani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe kaongee na wapuuzi wenzako mliojitekenya na kucheka wenyewe.Mleta mada hana tofauti na mtu anayeongea peke yake bara barani.
Ona huyu mpuuziVideo zenyewe umerekodia kicm gani sijui halafu unataka eti uconclude! Mko shallow minded sana
Sawa mi nakopa bundle ila wewe dishi limeyumba na mabando yako unadhani bando linaongeza akili?Hahahahaah kakope bundle uje usikilize na kutizama video, I don't argue with fools, kwanza una bahati sana hata nimejibu huu ujinga wako!
Ona hii kitu akili yake ilipoishia, mko too criminal, ni stress au? Jipangane na lichama lenu LA ovyooo
Achana nae mbuzi pori huyo, akajifukize kwanza!/We corona kweli
Au Video siyo halisi!?Mleta mada hana tofauti na mtu anayeongea peke yake bara barani.
Wanajaribu kukwepesha matat matatizo ya msingi
Hahahaha kabisa aiseeeNzi wa kijani nikama corona
Hahahaha kuna mpuuzi mmoja hapo anasema sio halisi maana imerekodiwa kwenye simu!!/Au Video siyo halisi!?
Hahahaha kuna mpuuzi mmoja hapo anasema sio halisi maana imerekodiwa kwenye simu!!/Au Video siyo halisi!?
Mkurugenzi hana utulivu kabisaHivi hiyo barua ya Mkurugenzi ni kweli imetoka kwake?
Mambo yanayoendelea utadhani nchi hii hakuna Corona!Mayor Boniface hajafukuzwa Chadema...hajawahi hata kujadiliwa kwa suala lolote la nidhamu. Mkurugenzi Ubungo amefanyia kazi barua fake. Amesha fahamishwa na amesema ataondoa hiyo barua yake.
John Mallya,
Mwanasheria wa CHADEMA.