sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Kwanza nitoe kongore mwa ex Mayor ndugu Mh Bon Yai Kwa uchambuzi wake makini na wa kuaminika hakika ametufugua macho Wana Dsm keep it broo!maana Mkaguzi ameyaandika na kusepa.
Nitoe Rai kwa ex Mayor wote waliokuwa wakiongozwa na Chadema kujitokeza kichambua ripoti za mkaguzi ili kuonesha hali wakati wakiwepo na wakati huu ambapo hawapo madarakani Ili miccm iabike Kwa wizi unao fanywa
Ebu tujiulize mkoa wa Dsm unaongoza Kwa vikundi hewa. Je Bila Bon Yai kuchambua sisi wana DSM tungejua au yangeishia kwenye makaratasi ya mkaguzi?
Jitokezeni myavue nguo majizi.