Mez B ajitetea baada ya picha alizopiga na wasichana wawili wakiwa watupu kuvuja

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Member wa kundi la zamani la Chemba Squad, Moses Bushagama aka Mez B amejikuta akiingia kwenye kashfa baada ya picha alizopiga na wasichana wawili wakiwa watupu huku amewashika maziwa, kuvuja na kusambaa kwenye mitandao

Mez B amejitetea kwa kusema kuwa alilazimishwa kupiga picha hizo na maboyfriend wa wasichana hao ambao ni wazungu.

"Zile picha bwana dah hata mimi nimesikitika pia… mi nilikuwa nashoot video…sasa kuna wadada wawili walikuwa wanaoga kwenye swimming pool na maboyfriend zao wazungu Mikadi na walikuwa vifua wazi tu vile vile, sasa mwisho wa picha wakaomba kupiga picha. Actually mimi nilikataa kwa style ile, mwisho wa siku wakaja na maboyfriend zao wakawa wananilazimisha please please just do it just do it bana picha tu, director wangu mwishoni akasema ngoja tupige tu tuwaridhishe then si tunazifuta". Amesema Mez B kupitia MTANDAO MAKINI WA PAPARAZI.

Mez B ameongeza kuwa tukio hilo lilitokea mwaka jana mwishoni na hajui ni nani ambaye amezivujisha picha hizo.

"Ni muda sana yaani hizo picha ni za mwaka jana mwishoni mwezi wa 12 nilipokuwa nashoot video ya shemeji, kwahiyo sasa nimeshangaa hizo picha hazikufutwa na zimesambaa na hata director mwenyewe nimemuuliza yeye mwenyewe anashangaa na kwasababu kuna dogo mmoja alikuwa anafanya nae pale kazi wakagombana, yule dogo aliondoka kwahiyo akawa anamuhisi huyo dogo atakuwa ndio amezivujisha.
 
Hao watukua wa ambiance mana walelegea sana hpo juu,hivi mez b ni mwanamziki au nae kaamua kutoa hizo picha akumbukwe kua yupo
 
tweenty4seven

eti anasema alilazimishwa kwani walimshikia bunduki!! yeye hajui hasara za kupiga picha kama hizo! huyu anatafuta kick
 
Last edited by a moderator:
Money Stunna
Huyu kapotea cku nyingi kwenye game hiyo ndio ntoke vipi so kaamua kutoa hizo picha tujue yupo hai
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni shida, mpaka mtu ana tuma picha kwenye mtandao nyie hiyo camera mliweka wapi
 
Huyu mez B anatafuta kiki tu hana jipya mziki umemshinda

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sawa, wazungu ndio walimlazimisha apige hizo picha....Sasa ikawaje tena zibaki kwenye camera ya Director wake? Waliomba wapige picha kwa camera isiyo yao ili iwe kumbukumbu kwa nani?
 
Afadhali ashapotea hasikikii nakumbuka enzi hizo hawa mr.blue,na baadhi walikua wanajiona aisee kumbe ulikua ni muda unapita tu sasa hiv ndomo anawakimbizajeee
 
mpululu

Mtu mwenye akili timamu unawezaje ukalazimishwa upige picha ya utupu tena bila kutishiwa amani.

Ni kama yule jamaa aliofumaniwa akaliwa anasema alilazimishwa lakin sura yake haionyeshi kama amelazimishwa yani yuko kiroho safi kabisa hana ata alama moja kuonyesha alijaribu kataa wakamsulubu.
 
Last edited by a moderator:
"Ki kuku cha mama rhoda, kimekula mpunga wangu. Nikitika kukifukuza mama rhoda sijui nini. Mweee enzi hizo
 
Heaven Sent

Binamu hua unaangalia kile kipind cha maigizo cha wachina kimetafsiriwa kiswahili kinachorushwa TBC
Mama yake miya hunivunja mbavu
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde

Binamu sijawahi kuangalia, but watu kibao wanakisifia so nataka nianze kukifatilia. Si kile kipo kama ile ya "maudodo"
 
Last edited by a moderator:
Binamu sijawahi kuangalia, but watu kibao wanakisifia so nataka nianze kukifatilia. Si kile kipo kama ile ya "maudodo"

Ee kama maudodo aisee kinachekeshaa ,kesho ukiangalie saa 4:05 usiku,kuna mama humo.ana mkwaraa hhhhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…