Mez B ajitetea baada ya picha alizopiga na wasichana wawili wakiwa watupu kuvuja

Mez B ajitetea baada ya picha alizopiga na wasichana wawili wakiwa watupu kuvuja

anatudanganya kama alilazmishwa ikawaje akashika na matiti.??
 
Actually mimi nilikataa kwa style ile, mwisho wa siku wakaja na maboyfriend zao wakawa wananilazimisha please please just do it just do it bana picha tu...
Yaani mtu analazimishwa halafu anaambiwa please, please!
 
Kick kick kick........................Amekubali sababu kalazimishwa na wazungu angekuwa kalazimishwa na wabongo wengine angekubali
 
Hivi kuna mwanaume amaweza kumlazimisha girlfriend wake apige picha na mwanaume mwingine akiwa uchi tena amemshika maziwa??? Ajabu kweli kweli
 
Kumbe MezB ndio aliotaka mwenyewe apige picha hiyo.umaarufu kweli shidaaa
 
Daaa
Hivi kumbe wanaolazimishwaga..huwa wanamwonekano huo ee..mabwakuu
 
Back
Top Bottom